Naomba kujuzwa bei za pete ya uchumba za madini mbalimbali

Mkuu pete za kawaida ni elfu tano waswahili upenda kuziita English gold au za kuchovya lakini kuna za shaba unapata kwa elfu nne adi elfu tano nakushauri nunua shaba mana hizi english gold zinawai sana kupauka, ila ukijipanga huko mbeleni waweza kununua gold original ambayo kwa gram moja ni kama laki na nusu
Ata mm natafuta pete wakuu, sio rafik yangu ni mimi mwenyewe. Pete za uchumba za kawaida.
 
Mkuu pete za kawaida ni elfu tano waswahili upenda kuziita English gold au za kuchovya lakini kuna za shaba unapata kwa elfu nne adi elfu tano nakushauri nunua shaba mana hizi english gold zinawai sana kupauka, ila ukijipanga huko mbeleni waweza kununua gold original ambayo kwa gram moja ni kama laki na nusu
Shukran sana mkuu, kuanzia kilo siwez kupata??
 
Back
Top Bottom