Wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya wanaume masikini, wanaume matajiri tunapenda English Figure

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Huu ndio ukweli na ukweli ndio huu.

Hakuna mwanaume mwenye hela anapenda mwanamke mwenye makalio makubwa. Wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya wanaume masikini ili wapate faraja na wasahau shida

Wanawake wenye makalio makubwa ni chanzo cha umasikini, wanaume masikini huwapenda hao wanawake na wanaendelea kua masikini. Maana mwanamke akishakua na makalio makubwa akili yake yote inahamia makalioni, hakuna cha maana anachowaza zaidi ya makalio yake

Wanaume wenye pesa wanapenda mwanamke ambae atamsaidia kupiga hatua kutoka pale alipo kwenda mbele zaidi, wanawake english figure ndio wana hiyo sifa maana wanabalance kati ya akili na miili yao, wanawake wenye makalio makubwa wao hawana balance, akili yote iko kwenye makalio

Jaribu kuangalia matajiri wote Duniani, marais wote Duniani na watu wote wenye akili huwezi kukuta anamiliki mwanamke mwenye makalio makubwa. Wanamuziki wengi wa marekani waliokua wanaruka na wanawake wenye makalio makubwa wote walifilisika na wako na hali mbaya balaa, wengine waliojitambua mapema walitafta wanawake english figure wanaojielewa, angalia walipo sasa nina Diddy, Jay Z, Kanye. 50 cent alipojifanya anapemda makalio angalia hali yake sasa, mufilisi.

Vijana , kama unataka mafanikio na utajiri tafta mwanamke saizi ya kati, ambae anaweza kubalance akili yake na mwili wake, ukitaka umasikini tafta wenye makalio makubwa, hao ni liability, usipokufa kwa presha utakufa kwa umasikini.

Tafta mwanamke wako wa maana weka ndani, hayo yenye makalio inakua chapa ilale, ukiwa na hela zako extra unatafta moja unapiga unaenda kulala.

Huu ni ushauri wa bure, ningeutoa kwenye mikutano mikubwa ulaya ningelipwa pesa ndefu sana.
 

Acha ukorofi mkuu
mwanamke ni jinsi unavyomfikiria wewe kichwani
wengi huwafikiria wanaweka negative ndiyo maana wanalalamika
mwaka wa 5 huu nadunda na mke wangu.hakuna cha kusalitiana Wala wivu ni anajitambua na kujiheshimu
Dah mkuu uwe makini wahuni sio watu wazuri humu. Utashangaa unaanza kuombwa urafiki na jamaa ili watimize lengo la kumwona shemeji.
 
hakuna lolote hapo
nina mke wangu ana makalio na mbona yupo smart kichwani
sema wewe umekosa wenye makalio au labda useme wale wenye makalio ya kichina hapo sawa.
Nimesema matajiri na wenye hela. Sasa wewe una hela gani mkuu.

Nipe mfamo mmoja wa mwanamue tajiri na ana hela anamiliki mwanamke mwenye makalio makubwa. Au mwanaume mwenye akili kichwani ambae mke wake ni mwenye makalio makubwa.

Nimesema toka mwanzo hao ni kwa ajili ya watu masikini.
 
ina ukweli maana kila nikimuangalia mama ngina nasahau shida zangu. sitamani kuwa mo wala manji. na asubuhi naamka kumwagilia matembele najua yatatusitiri. watoto wameenda shule huku akisugua miguu kwenye jiwe akiwa na kanga ilioloa maji. ndoa tamu jamani hasa na mwanamke mwenye kalio linalo tikisika yaan lainiiii
 
Nimesema matajiri na wenye hela. Sasa wewe una hela gani mkuu.

Nipe mfamo mmoja wa mwanamue tajiri na ana hela anamiliki mwanamke mwenye makalio makubwa. Au mwanaume mwenye akili kichwani ambae mke wake ni mwenye makalio makubwa.

Nimesema toka mwanzo hao ni kwa ajili ya watu masikini.
Jk Mama Salma Unamuonaje
 
Back
Top Bottom