Msaada: Nitumie mbinu ipi ili watoto wapende kujisomea?

Indian Flute

Senior Member
Mar 25, 2020
158
250
Habari zenu,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna watoto hapa maskani. Hawataki hata kusoma wala kujisomea, yani wakitoka shule Tv na wao, wao na TV.

Yaani ukiwaambia wakasome hawataki yan mpaka waamie wenyewe. Ukiwaambia walajisomee wanaona kama unawatibulia ratiba yao.
Hata mtihan ukikaribia hawasomi na mitihan hawakuonyeshi.

Mmoja yupo form 2 mwingine darasa la 5 mwungine 7 meingine 3. Nifanyaje maana muda mwingine nachoka mpaka najisemea kimoyomoyo wasome au wasisome watajua wenyewe.

Kumbuka hawa ni watoto wa ndugu zangu wameletwa hapa niwasimamie wasome lakini wao wanaleta ujinga

NB: Nimehitimu chuo mwaka huu UDOM
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,434
2,000
Tell me, I may understand and do it; show me and I will do it. Be the very change you want to see in the world. Lead not by words, but actions for they speak louder. Let your children see you enjoying reading yourself. Utarudi hapa kunishukuru.

I remember, like it was yesterday, spending hours and hours ^WITH^ my parents in the library, as a little kid.
 

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,744
2,000
Hahaha mwambie Magufuli atoe tamko ikulu, marufuku vijana washule ngazi zote kuonekana nje popote. Wakae ndani wasome.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,255
2,000
Anza kusoma nao pamoja kisha wasaidie kama wana homework fanya hivyo kama wiki mbili mfululizo halafu mbinu za kijeshi zitumike ikiwemo kutowasha TV saa ambazo wanatakiwa wajisomee.
 

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,331
2,000
Watoto wanatakiwa kujengewa tabia au mazoea tangu wakiwa wadogo, mfano wanapotoka shule jizoeze kusoma nao, kufanya nao homework, kusoma story books na ikiwezekana wakusimulie walichoelewa kutoka kwenye vitabu wanavyosoma, wanunulie vitabu mablimbali na uowaonyeshe umuhimu wa kusoma vitabu, hata wanapokua wakubwa huna haja ya kutumia nguvu kuwalazimisha kusoma kwani inakua ni sehemu ya ratiba yao na wanafanya pasipo kusimamiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom