Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

momul

Member
Feb 15, 2018
58
30
Inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa ikafikia hatua ya kumfanya mke wa pili?

Please wanaume kuweni wa kweli hapa!
 
But ukijilengesha kwao utachoka utaharibu credibility yako utakua huna hofu ya Mungu na zaidi sana ule uthamani wako utatoweka na kuanza kupewa majina yasiyo ya kwako
 
Una aleji na wanaume wa watu!?You don't know what you are missing mumu, after all kumpata aliyekua completely single ni bahati, lazima upambane kumtoa mwanaume mmoja kutoka kwa mwanamke mwingine
Nimemaanisha siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume aliyeoa,.mwanaume hata mwanamke completely hayupo...ndio maana tunabebeana madhaifu yetu na kusonga mbele na safari.
 
Nimemaanisha siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume aliyeoa,.mwanaume hata mwanamke completely hayupo...ndio maana tunabebeana madhaifu yetu na kusonga mbele na safari.
Ni msimamo na mtazamo mzuri mumu, lakini kuna mazingira na mazingira, na mpaka yatakapokutokea ukajikuta una date na mwanaume aliye katika ndoa ndio utaelewa.

Wahenga walisema sio busara kusema hili au lile maishani halitanitokea, bali omba Mungu Akuepushie na usiyoyataka ili uishi ndoto zako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom