msakhara
JF-Expert Member
- May 26, 2019
- 299
- 409
Habari wakuu.
Nimekua nikijiuliza sana juu ya wanawake wa sasa wanatafsiri vipi mahusiano ya kimapenzi?
Ninaona asilimia kubwa(nilio wahi kutana nao) , wanatafsiri kama ni fulsa ya kupata hela(ajira).
'Mwanamke anastahili matunzo' Na kauli nyingine nyingi, zinaonesha kuwa mwanamke ni 'mtumiaji wa pesa' na sio 'mtengenezaji ' au msaidizi kama vitabu vilivyoandika.
Kuna ambao unaanza nao tu mahusiano, mzigo wote unaangushiwa wewe... Hela ya pedi, hela ya umeme,hela ya vocha, hela ya kikoba sijui, hela ya kusuka, hela ya nauli. (sipingani na kuwa mtoaji kwa mwezako, but utegemezi)
Kwamba hii kitu ya utegemezi iko kwenye DNA ya mwanamke, ama ni jamii zetu zimewafanya wajifikirie hivyo??
Kunautofauti gani wa huu mfumo na kujiuza(no offense)
"mkono ukulishao, utakutawala" Hawaoni kama hii kitu inawacheleweshea sana haki sawa?
Nadhani mahusiano mazuri ni yanaundwa na kutegemeana. Na ili iwezekane, ni lazima pande zote muwe mnaweza jitegemea hata kidogo.
Tufunguane vichwa waheshimiwa.