Bata la Valentine's day

Bata la Valentine's day

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,414
Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao.
Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani?
Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
 
Jirani umeanza lini unoko [emoji28][emoji28][emoji28]
Kumbe unanizum kimya kimya ee[emoji2935][emoji2935]

Ua missed sana jirani hamna banah kuna nyuzi nikiwepo nina uhakika hutakosa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wakuu kama ilivyo hivi karibuni tr14-02 kutakuwa na valentine's day kwa watu wapendanao.
Je, wewe mdau wa JF utakua wapi na nani?
Pia unapenda kutoka na nani humu ndani?
Ndo nipo hapa na shetani tunapanga siku hiyo ziingie mimba ngapi na nani na nani tuwaunge kwenye grid ya taifa bila kusahau fumanizi ngapi zitokee na kutokana na mikusanyiko ya watu siku hiyo je koona tuisambaze kwa njia gani rahisi na ya haraka zaidi!,pia kwenye unywaji wapi tukoleze wapi tupunguz!.. mwaka huu tumeamua hadi koka zileweshe siku hiyo! Na nani na nani tuwacheleweshe kurudi nyumbani au warudi usubuhi kabisa!
Bado kwa zile Bata za kuzurura usiku lazima tuzikamatishe polisi zikalale selo na ikibidi mpk jela.
Kwa wale ambao valentine wao ni mabeki tatu wajihadhari sana maana tutawawezesha siku hiyo mimba hata ya kumgusa tu!.

Nawatakia Valentino njema muhimu muwe makini.
 
Vijana kuweni makini msikubali vizinga jumapili
Ni bora utoe sadaka japo tizama na kanisa la kutoa pia hiyo sadaka SI kanisa lina kila kitu afu unatoa sadaka ya nini sasa? bora ununue unga,mchele ,mafuta upeleke kwa wenye mahitaji
 
Back
Top Bottom