Mke wa mpangaji mwenzangu kanifuma bafuni

mwanga mweusi

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
255
407
poleni na majukumu.

Mwaka jana nimetokea hom nipo mkoani huku natafuta maisha sasa naishi nyumba yakupanga kwenye nyumba tupo poa sana nikama familia 1 tunaheshimiana sana mimi sina mke na sihitaji tangu nije huku mwezi wa 9 sijawai ingiza mtu yeyote geto kwangu hata mwanaume ajawai ingia, mimi sinaga marafiki wengi wala kampani nikitoka job ni ndani nikitoka ni job , ila kuna huyu mke wa mpngaji mwenzangu hua ananiulizaga sina rafiki? namwambia ninao huko kazini mara aniulize huna rafiki wa kike? namjib sina ivyo ivyo siku zinasogea kuna viashiria navionaga kama namwelewa simwelewi ivi siku nikifua kama mume wake ayupo anisaidie kwa lazima na kufagia chakula anipe wakat sijamwomba na mm sipikagi nakulaga huko barabarani nikija ni kulala tu .

huyu dada ana viashiria vyote vya kutaka kua na mausiano na mm ila sina uhakika ina wezekana vingine ni vyakawaida tu ila mini nikawa nawaza vibaya,.
Na mimi nataka nipenyeze hapo nami niwe kwenye ka uhusiano ka wizi ila naogopa kumwambia chochote sababu nailinda heshima tulio nayo na mumewake maana tupo sehem moja ya kazi ila vitengo ttofauti sikutaka saana kuwaza huu ujinga ila imebidi sababu leo nimeenda kuoga mlango wa bafu haufungi sababu umepigwa mvua ukatanika hua unashikizwa tu nimemaliza kuoga najifuta dushee limeinama linatunga sheria mara mlango unafunguliwa kucheki ni mke wa jamaa akaniangaliaaaa akaangalia dushee mm nikawa kama sielewi kitu anaondoka bila kuongea kitu nikawaza sana nikatoka nikakutana nae nje usokwauso akatabasam sana tu mm nina hasira tu nimeingia ndani ndio naandika hapa bado hata sijatoka bado.

hapo kafungulia mlango sasa maana niliogopa kumwambia chochote sababu niliogopa ataweza mwambia mume wake ila kashafungua pointi mimi naendeleza nitbatumia mbinu ambayo haijawai nifelisha lazima nimle tu nitatumia akili ili asiwe na pointi za kunisemea kwa mumewake sababu najua hawez mwambia kama kaja bafuni na mm natumia hapohapo kuendeleza

nisamehewe tu hili nimeridhia nitaonekana boya sana mimi.
Kweli kua namke ni kitu ambacho ni kigum sana maana namwona mshikaji hapa af namwonea huruma yan.

sasa leo nimeenda bafuni
 
Kweli umevurugwa maana hata unavyoandika inaonekana. Hakuna cha koma wala kituo. Umehemka sana!

Baada ya mihemko hiyo kwisha kaa sasa utulie uone jinsi kitendo unachotaka kukifanya kitakavyokuwa na madhara kwako kuanzia kiroho na hata kimahusiano yako na huyo mumewe. Mtafune huyo mke wa mpangaji mwenzio lakini hakuna cho chote utakachopata mbali na majuto, laana na mikosi tu huko mbele ya safari.
 
kweli mkuu ila mengine majaribu na kama umekamilika ningum kukwepa
 
poleni na majukumu.

Mwaka jana nimetokea hom nipo mkoani huku natafuta maisha sasa naishi nyumba yakupanga kwenye nyumba tupo poa sana nikama familia 1 tunaheshimiana sana mimi sina mke na sihitaji tangu nije huku mwezi wa 9 sijawai ingiza mtu yeyote geto kwangu hata mwanaume ajawai ingia, mimi sinaga marafiki wengi wala kampani nikitoka job ni ndani nikitoka ni job , ila kuna huyu mke wa mpngaji mwenzangu hua ananiulizaga sina rafiki? namwambia ninao huko kazini mara aniulize huna rafiki wa kike? namjib sina ivyo ivyo siku zinasogea kuna viashiria navionaga kama namwelewa simwelewi ivi siku nikifua kama mume wake ayupo anisaidie kwa lazima na kufagia chakula anipe wakat sijamwomba na mm sipikagi nakulaga huko barabarani nikija ni kulala tu .

huyu dada ana viashiria vyote vya kutaka kua na mausiano na mm ila sina uhakika ina wezekana vingine ni vyakawaida tu ila mini nikawa nawaza vibaya,.
Na mimi nataka nipenyeze hapo nami niwe kwenye ka uhusiano ka wizi ila naogopa kumwambia chochote sababu nailinda heshima tulio nayo na mumewake maana tupo sehem moja ya kazi ila vitengo ttofauti sikutaka saana kuwaza huu ujinga ila imebidi sababu leo nimeenda kuoga mlango wa bafu haufungi sababu umepigwa mvua ukatanika hua unashikizwa tu nimemaliza kuoga najifuta dushee limeinama linatunga sheria mara mlango unafunguliwa kucheki ni mke wa jamaa akaniangaliaaaa akaangalia dushee mm nikawa kama sielewi kitu anaondoka bila kuongea kitu nikawaza sana nikatoka nikakutana nae nje usokwauso akatabasam sana tu mm nina hasira tu nimeingia ndani ndio naandika hapa bado hata sijatoka bado.

hapo kafungulia mlango sasa maana niliogopa kumwambia chochote sababu niliogopa ataweza mwambia mume wake ila kashafungua pointi mimi naendeleza nitbatumia mbinu ambayo haijawai nifelisha lazima nimle tu nitatumia akili ili asiwe na pointi za kunisemea kwa mumewake sababu najua hawez mwambia kama kaja bafuni na mm natumia hapohapo kuendeleza

nisamehewe tu hili nimeridhia nitaonekana boya sana mimi.
Kweli kua namke ni kitu ambacho ni kigum sana maana namwona mshikaji hapa af namwonea huruma yan.

sasa leo nimeenda bafuni
Tuendelee kuchukua tahadhari ndugu zangu

😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷 😷
 
hili nimeridhia nitaonekana boya sana mimi.
Kweli kua namke ni kitu ambacho ni kigum sana maana namwona mshikaji hapa af namwonea huruma yani
Siku mshikaji naye akifumwa anakutatua marinda akisema asamehewe maana ataonekana boya sana na yeye asamehewe tu! Huu ndio ushauri wangu kwako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom