Zijue dalili kuwa Mkeo ameshakulisha limbwata la Kutukuka

Prognosticator

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,125
2,000
1. Ukiwa mtaani unakuwa mbabe ila ukiwa Kwako na Mkeo unakuwa Mpole sana

2. Hupendi Ndugu zako kuja Kwako ila wa Mkeo unawalazimisha waje

3. Ukiwa unaongea na Ndugu zako huwa unakuwa na Hasira ila wa Mkeo meno yote 32 nje

4. Unasikia uvivu kwenda kusalimia Kwenu ila kwa Mkeo unatamani uende kila siku

5. Ukiombwa Hela na Ndugu zako unawaambia subiri hadi uzungumze na Mkeo Kwanza

6. Ukipokea tu Mshahara lazima utamwambia hata kama hajakuuliza

7. Ukiwa nae Kitandani unaogopa kumwomba Mbunye hadi akuambie Yeye

Je kwa dalili hizo hapo juu kuna mwana JF yoyote ambaye ni Mume wa Mtu zimemhusu kwa 100%?

ANGALIZO KALI.

Kuna wale wenye Mitandao mingine / Blogs zingine ambao mara nyingi sana hupenda kunivizia au kusubiri mpaka GENTAMYCINE nije na taarifa / jambo humu JamiiForums halafu wao wanaikopi kama ilivyo na kujifanya yao.

Leo nawaombeni mnapoikopi na hii pia basi fanyeni acknowledgement Kwangu na kwa Mtandao wangu huu pendwa wa JamiiForums kwani Vitendo vyenu vya kutumia Juhudi zangu kwa manufaa yenu huwa vinaniumiza na vinanivunja sana moyo.

Nawasilisha.
 
mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,305
1,250

Ndo maana tunakosa akili za kupambana na maisha kujiletea maendeleo na kuwa wabunifu my brother dunia hii leo hii unataka watu waanzae kujichunguza maisha yao wanaishije na wake zao waache kujikita kwny kuangalia namna bora ya kujiendeleza na kubuni mbinu mbalimbali na mikakakati na kuitekeleza kufanikiwa maishani mwao mtakaofuata huu upuuuuuzzzi akili za kuambiwa changanya na za bata wenzenu wanawaza kufungua kampuni kuanzisha biashara we uwaze kuchunguza chunguza
 
Naona Limbwata limekukolea Mkuu. Pole sana na bado!
 
Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,490
2,000
kaka yangu mmoja yupo hapo mzima mzima .ila nachofanya namuombaga wifi yangu hela nae ananiheshimu sana haninyimi na mimi sirudishi hata kama nilimwambia anikopeshe.. ila kitu nampenda wifi yangu japo anambana jamaa ila anampenda na kumuheshimu na kumtunza.
 
Jumaa gosso

Senior Member
Sep 4, 2016
188
250
kaka yangu mmoja yupo hapo mzima mzima .ila nachofanya namuombaga wifi yangu hela nae ananiheshimu sana haninyimi na mimi sirudishi hata kama nilimwambia anikopeshe.. ila kitu nampenda wifi yangu japo anambana jamaa ila anampenda na kumuheshimu na kumtunza.
Sasa ndio ujekutangaza Jf sikupi tena ela zangu
 
stickvibration

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
3,220
2,000
Hiyo namba tano hapana...ukiombwa hela kuna ubaya gani kujadiliana na mkeo?

Yaani mdogo wako hasa wa dam kukuomba buku tu hadi ukajadiliane na mkeo!!!!!!!!!!!!!aseeee wewe ndio umelishwa hadi shumtama,kanyaga twende,magego bubu,na mavitu kibao haasa
Hakuna kitu hakifai kama usisikie jambo au usiambiwe kitu Mwanaume anatoka ndukiiii!!kwa mkeo kumwambia
Hio ni dalili %100 kua chini ya matako ya mkeo
Siku ukishakua ndio utajua
 
Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,464
2,000
Hahahaa!, mm nimependa maneno uliyomalizia, watu hawapendi kuumiza vichwa...wanataka wawe wana copy&paste...hawataki acknowledgement...hahahaa!. Kule kwenye makundi yao waonekane wao ndio wamefikiri hilo jambo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom