Kubana matumizi ni moja ya sifa muhimu ya mke bora

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Naona mnalisahau sana hili, mnazungumzia chura, mara sijui mcha Mungu lakin nawaambieni njia rahis zaidi ya kuwa maskin ni kumpata mwanamke asiyejua kubana matumizi, mwanamke anayependa kushindana na kujionesha kwamba always yupo juu.

Mwanamke wa namna hii ni tatizo, utatafuta hela sana zitaishia kununua mawigi ya laki 5 ili ashindane na fulan na mawigi mapya yanatoka kila leo, kwahiyo pesa inaingia na pia inatoka kwa kasi. Hutoboi.

Kuweni makin vijana
 
This is true wanawake inabid tufike mahali tuwe vizur upstairs hii ni kwa ajili ya kujenga maisha mazur ya sasa ya baadae yan tusiwe kero kwa familia zetu tunazozijenga kwa ajili ya watoto wetu hapo baadae...
Kuna wanawake wanaishi na wanaume zao lakin wanakua kama wanawakomoa kwa kudai vitu za garama ambazo sio za lazima kama hizo mawigi za garama mara kila fashion itakayo ingia anataka awe nayo which is not necessary...
 
Pale mwanaume bahili anapo mpenda mwanamke Bana matumiz ( a.k.a wanyoa nywele km mama gwajima)
 
Iyo nichangamoto
Wakwangu nimtu wakutoa hela Sana Yan akizishika anagawa ovyo nikakaa chini nikaongea nae kila mwezi salary ikitoka awe anaweka lak 8 bank Kama akiba zinazobaki achezee awezavyo..anapata 1.5 per month, alafu matumizi ya ndani tutasaidiana ila aweke lak 8 tu iyo kwa ajir ya maendeleo yetu.
Lkn mpaka nipige kelele ninune ndio aweke nikicheka tu mwezi unapita free
Sasa nimechoka kupigizana nae kelele nimemwacha free afanye atakachoona Ni sahihi kwake mi najiwekea zangu kwenye ac ya mtoto
Nanyie wanaume wakati mwingine mnatukatisha tamaa
 
Dawa ni kutafuta hela kuliko anavyotumia....a successful man is the one who makes more money than his wife can spend...on the other hand a successful woman is the one who can find that man.
 
Back
Top Bottom