Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar za mchana wadau wenzangu wa JamiiForums niko na swali dogo tu ambalo nahitaji ufasaha kidogo kuhusu jibu lake [emoji1427][emoji1427] Kipi ni bora kati ya kuchagua na kuchaguliwa? Hii ni...
0 Reactions
0 Replies
428 Views
Natafuta mke wa kula naye uzee mwenye sifa hizi: Awe na umri miaka35-47, Awe mkiristo, Ambaye hazai Awe tayari kunilea Wasifu wangu: Nina miaka 64 Nina watoto 6 wa mwisho ana miaka5 Mimi ni...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Tumegongana Mara kadhaa kwenye mwendokasi tena kwa bahati tukakaa seat moja kila siku, akili yako ikajisolve uombe namba kwa huyo binti, siku uliyoomba namba usiku wake mkachart ukimtaka mkutane...
37 Reactions
154 Replies
16K Views
Watalaam nisaidieni hapa hivi huwa kinatokea nini mwanamme mkuchukia mkewe kipindi cha ujauzito? Yaani hii imekaaje kitalaam. Unakuta walikua wanaishi vizuri tu before ila baada kupata ujauzito...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Natumaini nyote wazima wa afya na mungu atuepushe na magonjwa yote hatarishi Amen! Wakuu hapa nina swali la kizushi. Yeyote mwenye wazo karibu :)! Kuna umuhimu gani wa kusheherekea siku ya...
5 Reactions
192 Replies
13K Views
Habari zenu wana MMU, Leo nimeamua nifanye kushare na nyie moja ya stage ya maisha niliyoipitia. Mimi ni kijana niliyelelewa maisha ya kidikiteta geti kali kwa sana,Basi nikikuwa na rafiki...
3 Reactions
48 Replies
16K Views
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inaua ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
In life, one of the most important choice you will need to make is who to marry. This choice is so important that if you miss it, you will suffer for long, if you get it right then you will enjoy...
6 Reactions
9 Replies
948 Views
Habari gani wananzengo.! Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na jukumu la kujenga Taifa letu pendwa, Kisiwa cha Amani na Kimbilio cha Wasio na Makazi Tanzania.. Kiukweli najivunia kuwa mTanzania...
5 Reactions
103 Replies
7K Views
Tchaaaooo. Heshima kwenu wana janvi. Kila mmoja tunafahamu Tarehe 14 ni siku ya wapendanao. Je kwa sisi ambao wapenzi wetu wapo mbali na kuonana ni vigumu unaweza ukamfanyia nini jamaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna dada mmoja nilisoma naye darasa moja miaka mingi iliyopita, tulikuwa hatuna mahusiano yoyote...zaidi ya hisia zake na zangu kuwa zinawasiliana tu. Wiki tatu hivi zilizopita, nilipokea simu...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 nilikuwa kwanza nina miaka 2 ya ukaaji katika nchi hii ya Mozambique. Kipindi hicho mapenzi na kila aina ya starehe vilikuwa vimeshamiri sana katika hii nchi, sababu...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Wana MMU hongereni kwa kuona siku ya valentine ya 2020! Nikiwa natoka kwenye mihangaiko ndani ya Costa...Kuna mama jirani alikuwa na mtoto wa kiume mwenye mwaka Kama 1 na nusu hivi maana alikuwa...
26 Reactions
95 Replies
10K Views
madhara ya kuangalia porn movies.
0 Reactions
2 Replies
707 Views
Kwa kuwa mimi sio mtu wa wanawake, na mpenzi Sina, Basi leo nimegonga pamba zangu kali za timu yangu pendwa, niipendayo sana kutoka katika mji wa Baraka Mbeya City
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna sehemu kulikuwa kuna mjadala mkubwa tulikuwa tunazungumzia suala la kuoa tukawa tunangalia aina mbili za familia faida na hasara. Mwanaume kuoa familia ya kitajiri ambayo imewazidi kwenu...
2 Reactions
34 Replies
6K Views
Ni siku nyingine tena na mwaka mwingine tena ninazidi kumshukuru Mungu kwa baraka na utajiri wa afya njema na uhai🙏🙏🙏 Sifa na utukufu ninakurudishia ee Mungu mkuu. Happy 😊 🎉🎊🎂🎻🎸🎷🎺🥂🍾to me.👏
13 Reactions
111 Replies
8K Views
Wanyabi wazima!! mi nahitaji kujua what really goes on in the ladies minds hasa wanapokua wanakataa mnyanduano. Hii hasahasa anapokuwa amekuja ghetto fresh, yupo dressed fresh tu na anaonekana...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Yaan mkaka anahangaika wee adi anapata namba ako Chatting zake sasa Him:hi Me:hi Him:uko poa Me:yea am good Vip:vipi shemeji ajambo Me; kimoyo moyo mi nasema ii mburura imetokea wapi actually...
18 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna mrembo flani wa kichina alinizimia kama miaka minne hivi imepita. Ni wale maingineers waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa. Alinieleza baada ya kumaliza shughuli zilizomleta Tanzania alirudi...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom