sabuwanka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 691
- 759
Umofia kwenu?
Kwanza namshukuru Mungu aliyetufunulia kuwa sisi ni zetu vichwa vya familia!!
...na tena akasema wanawake ni viumbe dhaifu tuishi nao kwa akili!!!
Sehemu nyingine akasema tusiwakorofishe wanawake ili kuomba kwetu kusizuiliwe na tena mume ampe mkewe HAKI yake!
Turudi kwenye hoja ya msingi , je ni halali mwanaume kumtegemea mwanamke kiuchumi?kuna mwana MMU mmoja amelalamika kuwa mkewe ameamua kumuacha kisa ana miaka 8 anamuahidi mtaji hampi!!
Huu Ni mfano mmoja tu...katika maisha tuulizane ni halali kumtegemea mkeo kiuchumi?
karibuni