Sitakujasahau yaliyonikutaga siku ya Valentine

Macomeni

Senior Member
Jan 20, 2021
100
176
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1998 nilikuwa kwanza nina miaka 2 ya ukaaji katika nchi hii ya Mozambique.

Kipindi hicho mapenzi na kila aina ya starehe vilikuwa vimeshamiri sana katika hii nchi, sababu miaka kadhaa walikuwa wametoka kupigana vita vya wenyewe Kwa wenyewe

Na Mimi ndiyo ilikuwa Mara yangu ya kwanza kuingia kwenye mapenzi na mwanamke.

Basi niliuza Card, Maua, na vitu vyote vinavyohusiana valentine na ilikuwa siku nzuri sana kwangu Kwa biashara.

Imefika mida kama ya saa moja usiku, kaja mpenzi Wangu na zawadi, akanipa nikapokea, mtihani ukaja kwangu, sina cha kumpa, ikabidi adai, wewe vipi mbona unipi zawadi, nikamwambia nimeuza zote.

Ilikuwa ugomvi mkubwa sana nusuru tuachane.
 
Hahahaha konda msafi umekuja na nyingine.. hahaa varentina
uskute konda msafi, mzee mwitore na huyu varentina ni mtu mmoja
 
Eti bro mji mkuu wa msumbiji na dar es salaam wapi pazuri majengo na magari makali
 
Ndugu yangu huwezi kulinganisha Maputo na Dar,Kwa kukusaidia tu hawa Jamaa wamekuwa na umeme mwaka 1905,wakati sisi tunapigana vita vya majimaji,
Maputo ilijengwa kabla ya miji yote ya south afrika kujengwa,kilichowaharibia ni vita vya wenyewe Kwa wenyewe na kumfukuza Mreno.
Kuhusu magari,Maputo iko fresh sababu ni karibu na south,
 
Asante na je Harare vs dar
 
Utakuwa umetokea mtwara ukaenda moja kwa moja Mozambique,usilinganishe Dar na vitu vya kijinga,nimezunguka mikoa yote ya Mozambique kuanzia cabo delcado,Nampula,Niassa,Quelimane,Sofala,Manica,Tete,Inhambane,Gaza,Maputo hakuna sehemu nisiyoijua,mfano chakula cha maana kwa Maputo hadi uende Mercado de strela kwa kifupi Maputo ni mji uliojengwa na wakoloni zaidi ya hapo hakuna chochote cha maana
 
Sijui ndugu yangu tunazungumzia chakula,au uzuri wa mji,na ni kweli miji yote ya kisasa ilijengwa na wakoloni Kwa kuzingatia miundo mbinu ya kwao,hata South Africa,Zimbabwe Namibia Bitwasana Mpaka Angola huko kajenga mkoloni,
 
Dah nikajua mambo ya kina khumbu tena kumbe kisa chenyewe hakijai hata kwenye kiko cha chai
 
Asante na je Harare vs dar
Dar cha Mtoto,hayo mabarabara yanayojengwa kimara to chalinze huku yalijengwa toka 1800 na kenda wakati sisi bado sana,hilo Bwawa la Nyerere wao wanalo linaitwa cabora basa lilijengwa naza ni miaka 1890 mwishoni na ndiyo Mozambique wanaoiuzia umeme south Afrika
 
Dah nikajua mambo ya kina khumbu tena kumbe kisa chenyewe hakijai hata kwenye kiko cha chai
Tuna visa vingi sana vya kusimuria hasa ukiwa Kwa wenzetu huku,tulikotofautiana tamaduni,tatizo uandishi Wangu ni mbovu na huwa sipendi kukosorewa hiyo yote sababu ya kukaa ugenini mda mrefu na kuchanganya Lugha tofautitofauti
 
Ulishindwa hata kusema umeporwa na Kaka Jambazi?
Si unajua miaka hiyo maisha ya kibongobongo isitoshe ndio kwanza nilikuwa nimetokea soko matola,sijui chochote kuhusu mapenzi,nikakutana na mtoto wa kimozambique amechangia damu na kireno,anataka mambo ya kizungu wakati Mimi nimeenda kutafuta pesa
 
Utakuwa umetokea mtwara ukaenda moja kwa moja Mozambique,usilinganishe Dar na vitu vya kijinga,nimezunguka mikoa yote ya Mozambique kuanzia cabo delcado,Nampula,Niassa,Quelimane,Sofala,Manica,Tete,Inhambane,Gaza,Maputo hakuna sehemu nisiyoijua,mfano chakula cha maana kwa Maputo hadi uende Mercado de strela kwa kifupi Maputo ni mji uliojengwa na wakoloni zaidi ya hapo hakuna chochote cha maana
Kujengwa kujengwa kujengwa c ajabu unaishi kwenye nyumba ya kupanga ila unafarijika dar kujengeka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom