Kwa lips na mguu wake mie hoii

Kwa lips na mguu wake mie hoii

THE REPORT

Senior Member
Joined
Jan 13, 2021
Posts
167
Reaction score
203
Habari gani wananzengo.! Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea na jukumu la kujenga Taifa letu pendwa, Kisiwa cha Amani na Kimbilio cha Wasio na Makazi Tanzania.. Kiukweli najivunia kuwa mTanzania.

Aseee hebu tuachane na porojo, mie bhana katika pitapita zangu hapa kwenye jamvi la MMU nikapita mtaa mmoja hivi kulikuwa na uzi wenye maada ya Kulamba koni. Nikawa nimekutana na mrembo ambaye awali nilikuwa najitahidi kuifumania PM yake ila ilikuwa na Padlock yaani Kufuli.

Kulingana na ubize wa maisha nikawa nimelogout kidogo kwa ajili ya kujiweka vizuri ili niweze kujenga Taifa langu na kutafuta mali ili wanangu (Panapo majaaliwa) wasipate Tabu.

Baadae nimekuja kujaribu kulogin tena, nikaambiwa sijui nimekosea Password and brah brah ..! Nikaona isiwe Tabu nikaja na hii ID mpya inayoitwa “THE REPORT” inayotokana na Mobie moja iliyoandaliwa na kuongozwa na Scott Z. Burns na main character akiwa “Adam Driver” ... Kiukweli hii movie ilinikosha sana na ninavyopenda Political Dramas Za kimarekani Hasa hasa.

So niende kwenye maada, kuna bidada niliamua kufunguka kwake nikielezea nia yangu ya dhati kuwa nimejikuta namuwaza kinyamaa yaani na baada ya kufuatilia ameweka Avatar ya Lips zake..! Mie kusema ukweli nimemuelewa sana. Na sio hivyo tu, ana pua fulani hivi nzuriiii [emoji7][emoji7][emoji7] na pia Mguu wa Bia (Udhaifu wangu mkubwa ninapochagua mwanamke).

Sitaki kumtaja huenda akajisikia vibaya kutajwa..! Ila nataka nimuwekee dedication saafi kabisa ya Wimbo wa Don Wiliam wimbo unaitwa “It must be Love”

Hebu asome hizi baadhi lyrics za wimbo

First I get cold then hot
Think I'm on fire
But I'm not
Oh, what a pain I've got
It must be love.
There's nothin' I can do
All that I want is you
Look what I'm goin' through
It must be love.
It must be love

It must be love...!

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
it must be love. unanikimbusha mbali kidogo apo ulipo nisaidie kusikitikaa.daaah
pispi moya ivi tulikutana nayo church kipindi niko chali chali ivi , niikuwa mpiga kinanda yeye muimbajii, Tulizoeana sana maisha safii.
Nifupishe story siku anakuja kuniaga anaondoka huhu yeye analia ndo siku mm nilio jua nampenda yule binti eeebhana eeeh sikuweza kula masaa karibu 40 (It must be love ). mtoa mada ebu vuta sodaa apo nalipaa
 
Chakorii hatimae ule mzizi wa fitina leo umeguswa..🤣 dada yangu ukikataa na hapa nakubatiza mjina uitwe "embe ng'ong'o"😎
Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kujiamini tena.

So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.

Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.

Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.

THE REPORT nashukuru kwa kunipenda🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Brother hizi ni hisia za mtu.mwamba siwezi kumpa jibu la kumfanya ajisikie vibaya.hata mimi naweza kuwa na hisia namtu nikimwambia hisia zangu akanijibu vibaya tena mbele ya kadamnasi hakika nitajisikia vibaya mno..pengine ikanipunguzia kutokujiamini tena.

So siwezi kumfanya mwamba akakosa kujiamini kwa sababu ya jibu baya pengin wengi watategemea mimi kumpa.

Kuna uzi fulani Ali jaribu kunigusia hisia zake nikamjibu vibaya,kiukweli kabisa nilijisikia vibaya ilinibidi kuzifuta zile comments.

Maisha ndo haya haya kaka huwezi jua mwamba itamuongezea kitu gani mimi kumshukuru kwa kunipenda.

THE REPORT nashukuru kwa kunipenda🥂🥂🥂🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
Mwamba bado anakazi ya kukushawishi..😅
 
Back
Top Bottom