Mapenzi ni kama sumu

Mapenzi ni kama sumu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inaua ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon tutapoteza nguvu ya Taifa

Muamini hadi pale utapogundua sio mwaminifu
 
Mapenzi ni kama sumu kwa hivyo chaguo ni lako uamini kama inauwa ama usiamini uonje ufe!ukiwa na mpenzi alafu usimwamini yaani kila mara unafikiria atakuwa anakusaliti hii ni zaidi ya presha soon tutapoteza nguvu ya Taifa!
Muamini hadi pale utapogundua sio mwaminifu
 
Achana na hizo habari wewe kula maisha
JPEG_20210215_094514_2963646357805743998.jpg
 
Valentine imeisha sasa ni muda wa mirejesho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maisha yanaenda kasi 😁😁😁sana




Saa hii rayvanny anamuita harmonize babamkwe
 
Back
Top Bottom