frenderPH JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 622 Reaction score 822 Feb 16, 2021 #1 Habar za mchana wadau wenzangu wa JamiiForums niko na swali dogo tu ambalo nahitaji ufasaha kidogo kuhusu jibu lake [emoji1427][emoji1427] Kipi ni bora kati ya kuchagua na kuchaguliwa? Hii ni kwenye swala lolote utakalofikiria jibu lako litafaa
Habar za mchana wadau wenzangu wa JamiiForums niko na swali dogo tu ambalo nahitaji ufasaha kidogo kuhusu jibu lake [emoji1427][emoji1427] Kipi ni bora kati ya kuchagua na kuchaguliwa? Hii ni kwenye swala lolote utakalofikiria jibu lako litafaa