Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Tusiache kutoa ushauri pale panapoitajika. Kuna anko wangu mmoja nilimpa ushauri kuhusu mwenendo wa mke wake kwa siku hiyo nilionekana mpuuzi leo, yamemkuta mke wake kamtumia watu wampore pesa na...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Usidanganywe na demu kama anakupenda kabla hamjaingia kwenye ule uwanja wa sita kwa sita a.k.a uwanja wa dhambi. Demu kwa mara ya kwanza anakuwa amekutamani tu na sio kweli kama anakupenda ndio...
28 Reactions
81 Replies
15K Views
Habari wakuu. Unapokuwa katika kipindi kigumu cha kukosa pesa mkeo nyumbani uwa anakutazama vipi huwa anaikubali hiyo hali mnaishi nayo au ndo mtu wa kuzila na kukusanya vilago kama huyu wa...
25 Reactions
138 Replies
11K Views
Ukitaka sherehe ujipange sawa sawa. Hakikisha una pesa ya kutosha kuchukua gharama za sherehe pale Mambo yanapoenda tofauti. Vinginevyo utajikuta unawachukia watu kisa hawajakuchangia wakati sio...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari za Jumapili. Poleni kwa majukumu na pole kwa Mashabiki wenzangu wa SIMBA ila safarii bado. Nina mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa miaka 5 sasa (2016-2021) ila shida inakuja kwenye...
9 Reactions
110 Replies
15K Views
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
19 Reactions
24 Replies
3K Views
Jumamosi nilipata mgeni binamu yangu kutoka Dodoma, ikabidi nimtoe out kubadilishana mawazo, tukiwa out nikakutana na ex-wangu. Duu akanishangaa sana, mara ya mwisho kukutana naye miaka miwili...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
WANAUME wengi wanaamini wanawake, kwa kawaida, ‘wanapenda hela.’ Kwamba ukiweza kumhakikishia mwanamke 'uhakika wa kiuchumi' unakuwa umemaliza. Ingawa hatuwezi kupuuza ukweli kuwa uhakika wa...
15 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwamba ukirejea Nyumbani Kwako au ukikutana tu na Mkeo au Mpenzi wako na ukaona amechangamka sana huku amezidisha Mahaba ( Upendo ) Kwako hapa ina maanisha ametoka Kukusaliti au anaenda Kukusaliti...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu zangu najianda kuitwa baba kijacho siku si nyingi sasa nimeanza safari ya kulea ujauzito nimeshatia mimba mtoto wa mtu baada ya miezi tisa nakaribia kuitwa baba hivyo basi naombeni mwongozo...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
  • Closed
Mtie moyo, shika mkono wake, ongea naye taratibu na umuoneshe jinsi ya kuvuta pumzi nyingi na kuachia polepole Msaidie kumgeuza, kutembea, kubadilisha ukaaji na kuwasiliana na wengine
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Za jioni wakuu, Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa...
7 Reactions
109 Replies
11K Views
Ndugu zanguni members wenzangu me ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nasijawahi kufanya mapenzi na mwanamke yoyote na sio kwamba labda nina tatizo la hasha ila tu nimeamua iwe hivyo mpaka pale...
10 Reactions
75 Replies
8K Views
Kwa wale wanaume wenzangu mliopo katika mahusiano ya muda mrefu na mnawapenda sana wapenzi wenu na hamtaki kuwapoteza basi tieni mimba hao wachumba zenu kama vishika uchumba mtoto akizaliwa mtajua...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwema ndugu zangu. mwanamke anapoachana na mpenzi wake humchukua muda mrefu kumsahau mpenz wake .kwa hyo unapomtongoza akakukubalia usifikiri amekupenda kabsa . Mnapoanzisha mahusiano yey akili...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau. Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe Mnyakyusa, Mhaya au Mchaga bila kutoa ufafanuzi. Kwanini? Hebu...
5 Reactions
167 Replies
30K Views
Hello, Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara. Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Sehemu kubwa ya maisha yako kama mfanyakazi unaitumia kwenye eneo la kazi. Ingawa inategemea na aina ya kazi unayoifanya, ni wazi muda mrefu kwa siku unaoutumia kutekeleza majukumu yako unakuweka...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…