Heshimu hela nayo itakuheshimu!

Heshimu hela nayo itakuheshimu!

Hela ina tabia ya wivu, ukiiendekeza kwenye mambo ya hovyo na kuidharau lazima ikuhame na kwenda kwa mtu anayeijali.
 
Siyo kidhamini.

Ni kithamini

Dhamana ni kujitoa kikamilifu kama sehemu ya uaminifu.

Kudhamini ni kujitoa rehani ili kubeba na kuwekea ushahidi kitu ama mtu.

Thamani ni umuhimu au ubora wa kitu au mtu.

Thamini ni kukipa heshima kitu au mtu.

Jifunze lugha adhimu ya Kiswahili halafu punguza kushauri sana watu ,pesa wanatafuta Kwa jasho lao
 
Hujakututana na matumizi ya lazima wewe ambpo hata ujibane vipi hiyo hela inakuwa haikuheshimu tuu.

Mzee baba siri ya kutoboa ili pesa ikuheshimu ni mambo manne tuu.
1. Bahati tena kwa mpango wa Mungu
2. Familia unayotoka
3. Wizi/ufisafi
4. Ushirikina
 
Punguza ushauri wengine hatuna malengo
c5bf6c75d3bf253f36185bf314a2b16b.jpg
 
Back
Top Bottom