Mbinu gani ulitumia kumpata mwenza wako?

Mbinu gani ulitumia kumpata mwenza wako?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,039
Reaction score
3,676
Wakati wa zoezi la kusaka mwenza, mpenzi, mke au mme huwa kuna mbinu mbalimbali hutumika, wengine hupeleka zawadi ili kuanza kuvuta ukaribu wa mazungumzo, wengine hutuma watu wawasemee, wengine hutafuta namba za simu na kianzisha ukaribu.

Wapo wengine hutokea kwa bahati mbaya wanajikuta washakuwa wapenzi bila hata kutongozana. Wewe ulitumia mbinu gani?
 
Hata ufanye nini , mwanamke yoyote anavutiwa na mwanamme yoyote anaoenakana yupo dominant kwa watu au mazingira yanayomzunguka.

Ukiona amekufata wewe ambao upo submissive sana kwa kila kitu na watu ujue hana pakukaa au she is broken inside, sasa wewe unatumika kama daraja😁
 
Wakati wa zoezi la kusaka mwenza, mpenzi, mke au mme huwa kuna mbinu mbalimbali hutumika, wengine hupeleka zawadi ili kuanza kuvuta ukaribu wa mazungumzo, wengine hutuma watu wawasemee, wengine hutafuta namba za simu na kianzisha ukaribu.

Wapo wengine hutokea kwa bahati mbaya wanajikuta washakuwa wapenzi bila hata kutongozana. Wewe ulitumia mbinu gani?
nilimwambia nakupenda nataka uwe mke wangu akavunga nikampa wiki mbili afilirie basi ndo hivyo leo mwaka wa 10+ tunanyegeleana
 
Screenshot_20260731_025223_Google.jpg
 
Back
Top Bottom