Ntopo Kilebente
Senior Member
- Apr 3, 2021
- 191
- 250
"Mke wangu ni mke wangu, mapito yake ni mapito yake, yameshakuwa historia. Ikiwa umewahi kulala naye au unajua watu ambao wamelala nae hiyo ni juu yako, walifanya kwa muda wao kila mmoja akaondoka na kifanyio chake kwa kutimiza haja zake kwa furaha au kwa huzuni yake.
Kila mwanamke ana mapito yake yenye makosa, majuto na masikitiko kama ilivyo kwa kila mwanadamu, hivyo hiyo haimzuii kuwa mwanamke bora kwa mwanaume mwingine.
Ndugu, wacha tuchukue wakati wa kufurahi, kuwathamini na kuwafanya wengine wawaheshimu wanawake wetu badala ya kuchukua wakati wa kusikiliza mapito yenye sura mbaya ya wanawake wetu na kuhamasisha wengine kuwadharau wanawake wetu."-
Alisikika mtu mmoja akijihamasisha mwenyewe.