Hatimaye nimepata ila...

dr shayo

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
555
974
Wakuu habari za mida.

Direct kwenye mada, baada ya kukaa single muda mrefu nikaona nitafute pisi kali nikae nayo kwa muda ikikaa mkao niingize ndichi. Kama miezi miwili imepita nimekutana na pisi kali kwenye usafiri wa umma. Bahati nzuri tukashukia kituo kimoja, tukawa na moment nzuri mara nikatia sound imoo.

Sasa mimi ninachoona maajabu tokea muda huo mpaka sasa hivi hajanipiga kibom chochote namlia timing tuu nimsikilizie. Kwa maana nimezoea kila ninayepiga sound lazima kila ninayepiga sound lazima anipige kibom sasa huyu sijui anaandaa bom la nyuklia?
 
kuna mtu anamkula na kumgharamia jiandae kwa hayo mawili
Bado sina uhakika huo kwa maana hata simu yake muda mwingine nabaki nayo ningeona dalili.Mara nyingi huwa tunatoka wote job na tunakaa mtaa mmoja namfahamu tokea siku nyingi.
 
Your day are numbered πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakuu habari za mida.

Direct kwenye mada, baada ya kukaa single muda mrefu nikaona nitafute pisi kali nikae nayo kwa muda ikikaa mkao niingize ndichi. Kama miezi miwili imepita nimekutana na pisi kali kwenye usafiri wa umma. Bahati nzuri tukashukia kituo kimoja, tukawa na moment nzuri mara nikatia sound imoo.

Sasa mimi ninachoona maajabu tokea muda huo mpaka sasa hivi hajanipiga kibom chochote namlia timing tuu nimsikilizie. Kwa maana nimezoea kila ninayepiga sound lazima anipige kibom sasa huyu sijui anaandaa bom la nyuklia?

Ulioa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom