Ukweli mchungu kutoka kwa malkia wa nguvu kwa single mothers

Hank_31

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
855
2,109
"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA"

"Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto wetu"

"Kwa wazazi wa upande mmoja "Single Parents" ikitokea bahati mbaya akilelewa na mwanamke 'Single mother's' wengi wanakuwa watoto wabaya (kitabia) wawe wa kiume au wa kike sisi tuna zile hisia za wewe kama mwanamke kuwa peke yako na kupeleka kwa mtoto yaani unamuhonga unajaribu kuweka nafasi yako kwa mtoto unaona yuko vizuri kumbe unampoteza kwahiyo malezi ni kitu muhimu sana" Rose Urio, Malkia wa Nguvu.

.......................NAWASILISHA........................
CL_Sb8fpzNI_0.jpg
CL_Sb8fpzNI_1.jpg
 
no research no right to speak..wengine tumelelewa na single mothers na tuko vzr mnooo..msiishi maisha ya kukariri bandugu
Hata research yenyewe ukifanya huwezi kupata jibu kwa asilimia 100.. Ila unakua conclusive kutokana na upande upi umezidi mwenzie.. So inawezekana kuna exceptional ila chache.
 
"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA"

"Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto wetu"

"Kwa wazazi wa upande mmoja "Single Parents" ikitokea bahati mbaya akilelewa na mwanamke 'Single mother's' wengi wanakuwa watoto wabaya (kitabia) wawe wa kiume au wa kike sisi tuna zile hisia za wewe kama mwanamke kuwa peke yako na kupeleka kwa mtoto yaani unamuhonga unajaribu kuweka nafasi yako kwa mtoto unaona yuko vizuri kumbe unampoteza kwahiyo malezi ni kitu muhimu sana" Rose Urio, Malkia wa Nguvu.

.......................NAWASILISHA........................View attachment 1717517View attachment 1717518
Tafadhari jamuhuri ya muungano wa Tanzania imjengee sanamu kwa heshima na tahadhima
 
Unajijua vp uko vizuri?
heee jamani mkuu unaachaje kujijua uko vizuri,,,i normally access myself before comments from others.

I have all the good manners jamii inatakana and through the good manners I got everything human being wanatakana kupata...like I have got a good husband, lovely watoto, shelter, food and my kids are enjoying the so called good malezi and on top of that, my house is blessed with happiness and peace.

what else do you want me to doubt about. I don't need much as long as i have the basic needs, peace and happiness, the rest zitaji sort out zenyewe. Hope I have answered your queries.
 
no research no right to speak..wengine tumelelewa na single mothers na tuko vzr mnooo..msiishi maisha ya kukariri bandugu
Unaweza ukajiona upo sawa Ila wanaokuzunguka wakaziona kasoro zako,
Kwa wanawake wengi waliyolelewa na single mother wengi wao pia huishia kuwa single mother kwa ajili ya viburi na wao kujiona wanaweza.
 
Nakubali lkn sio wote...na ktk single mothers hiyo hiyo zipo category tofauti .hope tuko same page
 
Back
Top Bottom