Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Anakuja kwako anaazima gari ikiwa na robo tank ya mafuta anatumia week 3 anakuja irudisha taa inawaka na amekwangua ubavuni. Unarudi home unaambiwa tu xxx karudisha gari. 2. Jamaa anakopa...
11 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu Hakuna feeling tamu kama umkute mke wako amevaa T-shirt lako oversize, no Bra, Halafu Anakuandalia Chakula Aisee, kama nawe unayo hebu zitaje tuone!
17 Reactions
92 Replies
9K Views
Wakuu, Hatimaye nimeopoa bonge ya mwanamke kutoka mtandao wa Badoo. Tunatarajia kufunga ndoa ya fasta maana ni binti nzuri sana nafanya hivi ili nisije nikawahiwa maana ni mrembo balaa...
13 Reactions
65 Replies
8K Views
Nimeumia sana mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Kweli naamini mapenzi yanauwa. Ninahitaji msaada mkubwa sana vinginevyo ninaweza kufanya tukio kubwa na la kushangaza sana. Yaani hata talaka...
17 Reactions
88 Replies
11K Views
Habari zenu wakuu kweli nisipoteze muda niende moja kwa moja katika mada Nimekuwa katika mahusiano ambayo imefika muda sioni future yoyote na huyu mwanamke ananikera sana na tabia zake za kuflirt...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana Jf na wapenzi wasomaji wa Jukwaa Pendwa la MMU. Mimi ni kijana ambaye sijaoa na nina miaka 30+ now ila nina mchumba. Huyu mdada niko naye takribani miaka miwili sasa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello, Nawasalimu kwa jina la MMU, Ukiwa handsome kila mwanamke atakutaka,uwe na hela usiwe nazo poa...si wadada si wake za watu..si mtaani si kazini...utafuatwa hadi na mashoga..huko fb na insta...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe. Hana raha na ndoa Hana amani Mke anamnyima unyumba Mke mkorofi Mke anaongea sana...
14 Reactions
148 Replies
11K Views
Hivi mwanamke unakuwa mjeuri unamjibu mumeo utakavyo. Mwanaume ametoka kwenye mishe mishe kurudi nyumbani ni war zone na sio comfort zone.
12 Reactions
142 Replies
13K Views
Katika jambo zima la sex nani huwa anamtumia mwenzie? Mwanamke au mwanaume? Nini inafanya useme hyu ndo anatumiwa? 👀
2 Reactions
33 Replies
3K Views
KWANZA NAWATAKIA HARUSI NJEMA INGAWA MMENINYIMA KADI YA HARUSI BASI WATOTO ZENU MNAOENDA KUWAZAA WATATUKUMBUKA KWA NEEMA ZA MWENYEZI MUNGU NAWATAKIA MAISHA MEMA NA YENYE FANAKA KILA UKIFIKIRIA...
3 Reactions
55 Replies
23K Views
Kuna jambo linanitatiza sana wana JF. Hivi kuna haja gani ya fungate pale ambapo wana ndoa walishakuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla ya ndoa?? Nauliza hivi kwa kuwa kuna best yangu wa karibu...
1 Reactions
55 Replies
56K Views
Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani...
0 Reactions
37 Replies
15K Views
Najiuliza swali hili! Kuna couples zingine hukaa honeymoon kwa wiki 1 hadi 2! Na katika kipindi hicho nimeshuhudia watu, hadi wachungaji/mapadri wakikataza mtu yeyote kwenda kuatembelea couple...
1 Reactions
212 Replies
38K Views
Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo...
10 Reactions
76 Replies
10K Views
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha. Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home...
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Baraza la kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoa wa Njombe limeamuru wanandoa kutengana kwa muda wa miezi mitatu ya matazamio na kurejea kwa wazazi wao kila mmoja Hii ni kutokana na ukatili wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…