Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine...
9 Reactions
31 Replies
46K Views
Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika...
15 Reactions
54 Replies
7K Views
*1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia...
19 Reactions
49 Replies
5K Views
Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa...
16 Reactions
40 Replies
6K Views
Zilikuwa zipo 37 lakini nashkuru nimeacha tano na sasa zimebaki 32 (Namshkuru Mungu) Habari za mchana waungana, bila shaka hamjambo (Kazi iendelee) Wanauliza kwanini unaitwa mzee wa kasumba...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Asalaam Alaykum na Shalom. Nina babayangu mdogo ambaye ni sasa ni Mstaafu. Walifunga ndoa Bomani mwaka 1990. Wamejaliwa watoto Wanne, Binti Mmoja firstborn na wakiume Watatu...29, 27, 23 na 21...
8 Reactions
85 Replies
9K Views
Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo 🤩🤩🤩!!! cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services...
15 Reactions
149 Replies
13K Views
Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila...
21 Reactions
135 Replies
16K Views
Habari za mchana ndugu wana JF. Once again, nzi chuma hadhuriwi na uvundo yupo hapa. Wakati nikiwa chuo Moro town, nakumbuka niko 3rd year na nlikua naishi kitaani mbali kidogo na chuo. Siku...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO MWANAMKE NI KAHABA NA HAKUFAHI! 2. Mwanamke...
8 Reactions
58 Replies
10K Views
I want a boo, I need to fall I love with. I want that man or woman who will whole me. Falling in love is what I need, I want the right guy who will make this show up to me. A real man who will...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalaam Imekuwa kama fasheni sasa watoto wa kike hasa vyuoni kupiga picha za utupu either wakiwa na wapenzi wao au wao kwa wao. Na hii imeleta usumbufu mkubwa kwa wazazi na familia mara tu...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Habari za mda huu wana jamvi ameniomba nifikishe uzi huu yaezekana akapata suruhisho au ushauri kutoka kwetu kwani hili ni jukwaa muhimu sana katika hili. Ni mtoto wa mjomba angu ambae ni...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Mwaka mmoja uliopita, nilimtongoza mdada wa jirani hapa, nilimwomba namba akanipa, siku ingine tulivokutana nlimweleza nia yangu ya mimi na yeye tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi, akanikataa...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimeitoa mahali huko FB na nimeona pana ukweli 1. Hawatuliagi na mwanamke moja 2. Wanapenda kudinya tu, hawana mapenzi ya dhati 3. Wana vipaji sana kwenye kudanganya 4. Huongea kwa utaratibu kwa...
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wakuu, Rejea mada tajwa. Niseme tu ukweli wanaume wengi wanateseka na ndoa zao (japo wengi hawataki kujionesha), angalia kipindi cha kutaka kuoa huwa tunachagua sanaa. Na formulars...
11 Reactions
101 Replies
10K Views
Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari Kwanza kabisa naomba namimi nijiunge nanyi katika mtandao huu, nimeamua kua mzalendo, sio lazima kutumia mitandao ya wazungu tuu tunahitaji kutumia vya kwetu pia. Niende moja kwa moja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom