Haya ni Mabalaa: Hivi ni mimi tu au hata wewe una rafiki wa namna hii?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
1. Anakuja kwako anaazima gari ikiwa na robo tank ya mafuta anatumia week 3 anakuja irudisha taa inawaka na amekwangua ubavuni. Unarudi home unaambiwa tu xxx karudisha gari.

2. Jamaa anakopa kwako 300,000 anasema anashida ya dharura mwezi wa 4 huu hajarudisha ila kila weekend anapiga mitungi na unakuja kugundua hata ile pesa alikopa ili akagegede demu na kupiga mitungi.

3. Mshkaji kashakutambulisha kwa mademu zake kama 10 hivi wote kawaambia wewe ndo rafiki yake wakufa na kuzikana.kifupi wewe ni ndugu yake. Wale mademu wanakuchukulia wewe shem wao. Wakifumaniana kila mtu kwa nafasi yake anakupigia akilia akitaka ukamkanye rafikiyo anachezea maisha yake. Hujui umtetee nani au ukamzie nani.

4. Una rafiki mbele ya demu mpya siku hiyo anakugeuzia kibao anamwambia demu wewe ni dereva wake so anakutuma ukaongeze pesa zipo kwenye gari. Na wewe unajua jamaa ndo umemtoa out naye katumia fursa hiyo kumtoa demu out ambaye hajampata bado. Unatoka nje halafu huelewi ufanye nini.

5. Unatoka out na mshkaji ukiwa unalipia sababu kaona una pesa mbele za watu anakwambia "big nipe 30,000 mara moja tukienda hapo voda pesa nakurudishia" hakurudishii.

6. Mshkaji anachangisha harusi michango mwaka sasa pesa zenu ameshakula anazunguka zunguka mwisho mnapombana kuhusu harusi anaangua kilio kikubwa. Kuwa mchumba wake alifariki 5 months ago. Ndio maana siku hizi amechanganyikiwa anakunywa sana pombe amsahau.

7. Unakuwa na mshkaji ila unamwona kabisa anamwangalia demu wako kwa jicho la matamanio.

8. Unakuwa na mshkaji yeye muda wote mkikaa anazungumzia mademu na kukupa stories za mikasi na mitungi.

9. Una mshkaji ambaye ni wa long time kipindi ila bado anataka muishi kama teenagers anataka sometime aazime miguu yako mikal i(viatu) au pamba kali akawakoge kitaa.

10. Una mshkaji unamtambulisha kwa new girfriend anaropoka "daaah we sikuwezi jana umenitambulisha ngoma nyingine kali imesimama leo tena. Huu mwezi wako kaka watoto kama wote wako" anamgeukia girlfriend wako "shem mpya karibu sana kwetu sisi wazee wa mitungi na watoto wakali"

Na wewe unaweza ongezea aina ya rafiki vimeo ambao umewahi kuwa nao.
 
Kuazima gari 🤣.

Niliwahi kuambiwa eti huwa naazima magari ya watu! Maajabu ya JF hayo.

Hakuna kitu ninachokiogopa kama kutumia kitu cha mtu, hususan gari.

Hatari yake ni kubwa mno. Ukiligongesha huko utakuja kumwambia nini mwenye gari lake akuelewe?

Naogopa sana mali za watu.

Sasa hao wanaoazima magari ya watu huwa wana mioyo migumu.

Bora mara 100 kukodisha [rental] kuliko kuazima.
 
Sio mm siwezi kuwa na urafiki na mtu wa hivyo hata nusu saa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yapo sana huku mtaani.
 
Kuazima gari .

Niliwahi kuambiwa eti huwa naazima magari ya watu! Maajabu ya JF hayo.

Hakuna kitu ninachokiogopa kama kutumia kitu cha mtu, hususan gari.

Hatari yake ni kubwa mno. Ukiligongesha huko utakuja kumwambia nini mwenye gari lake akuelewe?

Naogopa sana mali za watu.

Sasa hao wanaoazima magari ya watu huwa wana mioyo migumu.

Bora hata kukodisha [rental] kuliko kuazima.
Hivi kwenye kukodisha (rental), huwa naona nchi zilizoendelea mtu anakodisha gari, analiendesha mwenyewe, mfano kama ikitokea akaligongesha huko au akapata nalo ajali, huwa wana handle vipi such incidences?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwenye kukodisha (rental), huwa naona nchi zilizoendelea mtu anakodisha gari, analiendesha mwenyewe, mfano kama ikitokea akaligongesha huko au akapata nalo ajali, huwa wana handle vipi such incidences?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo magari huwa yana bima tayari.

Pia kwenye rental agreement kunakuwa na bima za nyongeza ambazo unaweza kuziongezea ili ziweze ku cover mambo mengi zaidi.
 
Kwenye uazimaji wa gari na pesa siku moja ningemfurahisha..

Hizo tabia zake nyingine apambane nazo mwisho wa siku ndiyo rafiki na siamini Kama atakuwa hana zuri hata moja la kukufurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshukiru Mungu nimekuwa na marafiki majembe siku zote na wale fake huwa wanasepa wenyewe..yaan mtu mwenye pigo za kidwanzi hatu match kbsa atasepa tu mwenyewe
 
Nishaishi Maisha ya namna hiyo . Ila ni kipind cha ujana, ukifika Muda. Priorities zinabadilika.
Na wala hakuna wakukupigia Alarm kuwa muda imefika. Utakua tu.
Tatizo wengi hujua wakat umri ushaenda sana.
Ndio tatizo.
 
Una rafiki mbele ya demu mpya siku hiyo anakugeuzia kibao anamwambia demu wewe ni dereva wake so anakutuma ukaongeze pesa zipo kwenye gari. Na wewe unajua jamaa ndo umemtoa out naye katumia fursa hiyo kumtoa demu out ambaye hajampata bado
😁😁😁 hawa watakuwa washkaji wacheza comedy
 
Ha ha ha wapo
..😂😂😂😂😂😂

Similar Discussions

Back
Top Bottom