Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wataalamu mpo? Kwema? Niliwamisi sana. Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka...
25 Reactions
103 Replies
10K Views
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege Sasa...
17 Reactions
149 Replies
23K Views
Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu, nimepita pita na madada kadhaa, tena wengi kama 12 idadi yao tena na zaidi, wote hao ni wa kununua wale madada zetu. Kuna barmed mmoja huyo nilienda naye kavu kama week yaani ni kuwa...
9 Reactions
120 Replies
14K Views
Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo...
5 Reactions
229 Replies
25K Views
Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi...
7 Reactions
44 Replies
7K Views
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu...
50 Reactions
303 Replies
50K Views
Habari, natafuta Rafiki wa kike awe kawaida tu kikubwa ajue kujishughurisha, itapendeza zaidi akiwa katavi-mpanda au mkoa wa karibu.
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu dada namfahamu mwezi wa tatu sasa. Ni mzuri sana kwa sura na umbo. Shida zipo ndogo ndogo. Watu ambao amewafollow instagram ni watu ambao mimi naona wa hovyo hovyo. Wasanii n.k. Anavifahamu...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Jamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao. Mdada ikimtokea hali hii, je...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho...
20 Reactions
111 Replies
14K Views
Habari wakuu natumaini mko salama. Kwa mategemeo ya wengi mnadhani pengine huu uzi ungekuwa na maelezo mengi ila sio hapa natoa hoja moja tu ya msingi na ya kuzingatia. Kwanza naomba nitoe...
49 Reactions
144 Replies
16K Views
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa. Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
Wengi hasa vijana wamezoea kuachana kwa matusi na kila mmoja kusema mabaya ya mwenzake kwa watu lakini hujui yawezekana siku moja ukajikuta umempigia magoti ex wako unaomba akupe hata kimoja tu...
10 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa maisha niliyo yapitia na sehemu mbali mbali nilizo tembea katika harakati za kutafuta maisha nimegundua kuwa watu waopenda kuzama chumvini ni maskini hawana hela na hawana uwakika na maisha...
36 Reactions
175 Replies
27K Views
Mapito ni mengi. Lakini kuna mapito ni magumu zaidi na zaidi. Kuna janga unaweza kulipata yaani ukachanganyikiwa mpaka kiwango cha mwisho. Binafsi sitoisahau siku ambayo nilidondosha barua ya...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimelifatilia hili kwa muda mrefu baada ya kuona watu wanavyolalamika na kuteseka haswa wakati wa matatizo ; ugonjwa, kukosa udhamini, kutafuta mtaji nk Naleta hoja hii ili tupate kurekebisha kwa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Habari za mihangaiko wana jamvi, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure kabisa bila gharama yoyote. Mada yangu leo inahusu mabinti/wanawake wenye nyodo, maringo, kijiona au kujisikia. Wapo kama...
11 Reactions
112 Replies
14K Views
Back
Top Bottom