Yanayotendeka kwenye fungate(Honeymoon) unayajua?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
336
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 336 180
Najiuliza swali hili!

Kuna couples zingine hukaa honeymoon kwa wiki 1 hadi 2!

Na katika kipindi hicho nimeshuhudia watu, hadi wachungaji/mapadri wakikataza mtu yeyote kwenda kuatembelea couple husika, kwa hofu ya kuwasumbua!

Ni mambo gani hasa yafanyike na kuongelewa kule honeymoon, ukiachilia mbali kuonyeshana upendo kwa ukaribu??...two weeks!! mmmh!!

Kimsingi, nadhni kuna mambo makuu kadha ambayo mnatakiwa myajadili mkiwa huko. Lakini hii itategemea sana kama mlijuana kwa kipindi gani nyuma, kabla ya kuoana!..

Lakini je, hujawahi kusikia ndoa zinazovunjikia kwenye vyumba vya honeymoon?..Je unadhani couple hizi huwa wamesemezana nini hadi kuchukua maamuzi hayo?

Kuna jamaangu alinambia, namnukuu.."tukiwa honeymoon ndo nitamfahamisha rasmi kwamba nina mtoto wa nje"..!
Mwingine akasema.."wakati huo(honeymoon) ndo nitamjulisha kuhusu madeni niliyokopa ili kufanikisha kumuoa"..huh!

Je huenda mambo hayo ndo moja ya yale muhimu ya kusemezana wakati huu muhimu?...michango yenu tafadhali!
 
Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
bado sijaolewa but pia nimeskia kwa waliioolewa na kuowa kwamba huo ndio wakati mzuri wakutafuta watoto maana wanakuwa akili zimetulia pia,pia ndio wakati wa kupanda maisha yao mapya na hasa kuenjoi tendo takatifu maana mwanzo walikuwa wanajiiba tu,mtazamo wangu tu.
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
87
Points
145

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 87 145
Mh mie huwa najua kule ni kurelax na kuonyeshana mapendo tu. Sijui pengine kwa kuwa yangu ilikatishwa baada ya siku mbili otherwise sifikiri kama kunapaswa kuwa sehemu ya kufanyia 'hard talks'.
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
336
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 336 180
bado sijaolewa but pia nimeskia kwa waliioolewa na kuowa kwamba huo ndio wakati mzuri wakutafuta watoto maana wanakuwa akili zimetulia pia,pia ndio wakati wa kupanda maisha yao mapya na hasa kuenjoi tendo takatifu maana mwanzo walikuwa wanajiiba tu,mtazamo wangu tu.
Mhh!..kutafuta watoto fasta namna hiyo?..Na gudtime mtakula lini sasa?
 
FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,667
Likes
660
Points
280

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,667 660 280
Honey Moon wengine wanasema wanatafuta mtoto maana utasikia eeh jamaa akitoka huko kama mimba haijacam baaasi tena
Wengine wanadai mnakaa na kuwa peke yenu kwa muda mjuane vizuri kiundani..
Mie nadhani ni mapumziko ambayo Bibi na Bwana wanatakiwa wayapate bila bugudha yoyote ni kipindi ambacho wife /husband kama wanafanya kazi watapumzika kwa muda na kupanga maisha yao ya baadae ,kero na karaha zote wanaepukana nazo wanahitaji watoto wangapi ,wafanye nini ili kuboresha ndoa yao na kupeana mikakati halisi ya ndoa yao kabla ya kurudi home na kuanza rasmi maisha ya ndoa mme/mke
kupika na kupakua .
Nitaendelea
 
Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Messages
12,285
Likes
56
Points
145

Teamo

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2009
12,285 56 145
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
87
Points
145

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 87 145
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
HILI NALO ZITO!!............. zaidi ya kupumzika na kashkash za harusi sidhani kama kuna la zaidi. Mmekaa uchumba over 3 to 5 years mmejuana vya kutosha sasa mtajuana vipi nadni ya wiki au wiki mbili?
 
Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
my dia c nimesema waliooa na kuolewa ndo wameniambia hivyo?kila mtu anamipangilio yake ktk maisha mwinine anataka watoto mapema ili baadae apumzike,mwingine anataka gud tyme kwanza zen badae kutotoa it all depend swty.
Mhh!..kutafuta watoto fasta namna hiyo?..Na gudtime mtakula lini sasa?
 
Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Messages
12,285
Likes
56
Points
145

Teamo

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2009
12,285 56 145
unajua hivi vitu vya CUT-N-PASTE kutoka kwa wadhungu vinatugarimu sana!...

i no see the essence of spending for 21-days damn costly wakati mtu nimeshaspend nae na kuongea nae zaidi ya miaka tano.

kitu muhimu kabisa katika maisha yangu kilikuwa ni ndoa ya kikristu kanisani
 
Pearl

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2009
Messages
3,042
Likes
34
Points
135

Pearl

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2009
3,042 34 135
eeeeeeeeeeeh back happy very happy tell us yaliyojiri
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
336
Points
180

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 336 180
honeymoon IS THE STATE OF ONESELF-MIND!...otherwise hatuhitaji sana kizazi hichi.nimeishi uchumba na wife over five years...!sasa nitaongea nae kipi kipya?...
Jesus?

Geoff nishakwambia unatakiwa kuwa mbali na keyboard!..Uko premature kuwepo hapa kwa muda huu!

Huenda ikawa kweli ukiishi nae uchumba kwa miaka 5, lakini ule ulikuwa UCHUMBA mind you!...
U have taken a step ahead kwa kufunga ndoa takatifu altareni!..So hii ni maneno ingine mazee...sio mambo ya uchumba!..A dog isnt a pupie!...kuna mambo kibao mapya mnatakiwa kuyaendea taratibu kwa mjadala uliotulia!
 
chinga79

New Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
3
Likes
0
Points
0

chinga79

New Member
Joined Feb 16, 2010
3 0 0
Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna aliye perfect na kukubali kujifunza mazuri na mabaya ya mwenzi wako na kuwa tayari kuyabeba. Unajua mtu yoyote ambaye hamjalelewa wala kuzaliwa familia moja lazima muwe tofauti kwa kila kitu sasa nafikiri katika kipindi hiki cha uwazi na ukweli utawafanya muunde tabia yenu namaanisha TABIA YAKE + TABIA YAKO = TABIA YENU.

Tchao
Chinga1
 
Teamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2009
Messages
12,285
Likes
56
Points
145

Teamo

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2009
12,285 56 145
Jesus?

Geoff nishakwambia unatakiwa kuwa mbali na keyboard!..Uko premature kuwepo hapa kwa muda huu!

Huenda ikawa kweli ukiishi nae uchumba kwa miaka 5, lakini ule ulikuwa UCHUMBA mind you!...
U have taken a step ahead kwa kufunga ndoa takatifu altareni!..So hii ni maneno ingine mazee...sio mambo ya uchumba!..A dog isnt a pupie!...kuna mambo kibao mapya mnatakiwa kuyaendea taratibu kwa mjadala uliotulia!
....siwezi kubisha kwenye hili!lakini do we need to waste time with COSTS IMPLICATIONS just for marriages??...!wakoloni wana-kufaya immediately.am telling ya
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Likes
87
Points
145

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 87 145
Binafsi nafikiri Honeymoon ni kipindi cha ukweli na uwazi kwa kila kitu kuanzia suala zima la mapenzi, tabia mbaya na nzuri za kila mmoja, kujifunza kubebeana mizigo na maisha kwa ujumla. unajua unapooa au kuolewa hutakiwi kufikiria kuachana so kipindi hiki ni kizuri cha kujifunza kuwa hakuna aliye perfect na kukubali kujifunza mazuri na mabaya ya mwenzi wako na kuwa tayari kuyabeba. Unajua mtu yoyote ambaye hamjalelewa wala kuzaliwa familia moja lazima muwe tofauti kwa kila kitu sasa nafikiri katika kipindi hiki cha uwazi na ukweli utawafanya muunde tabia yenu namaanisha TABIA YAKE + TABIA YAKO = TABIA YENU.

Tchao
Chinga1
Duh Chinga umemaliza yote

Sipati picha hapo kwenye red- tuko chumba cha honeymoon namwambia- mpenzi mume wangu wajua nimetembea na Best Man siku mbili kabla ya arusi!! mh
 
Forum statistics

Threads 1,205,170
Members 457,745
Posts 28,184,462