Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo. Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu...
7 Reactions
83 Replies
9K Views
Ciao jf Nimekua nikifwatilia mda mrefu wa nini wanawake wengi wa sasa kwa nini awadumu kwenye ndoa zao...jibu nililo pata litawashagaza wengi ila ni ukweli unao pingika wa kiwango kidogo Rejea...
31 Reactions
63 Replies
9K Views
Ciao jf Bila kuchelewesha mada mezani kama swali hapo juu linavyo uliza! Je mpenzi wako (me.ke) alikuhamasishaje kujengeka au kuimarika kiutaftaji pesa? Sharing is caring waungwana😎
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu, Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta...
19 Reactions
68 Replies
10K Views
Habari za majukumu, Naamini nyote mpo salama, natafuta rafiki wa kike mwenye hofu ya Mungu, anayejua na kujali thamani ya mtu asiwe mlevi wa kupindukia, Dini Mwislam/mkristo. Mwenye elimu walau...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mijitu mingine sijui ikoje....hovyo sana. Mtu anakuomba ushauri halafu kumbe tayari ana maamuzi yake kichwani. Unataabika kufikiri unampa ushauri anaanza kuongea shit tena. Mijitu kama hii...
20 Reactions
47 Replies
5K Views
  • Closed
Habari wapendwa, Natafta mwanaume wa kufarijiana. Natamani sana kupata mwanaume anayejua kuhonga na mimi nitakua namhonga[emoji179][emoji179]. Tushauriane, tutaniane,tupendane .In short I want a...
17 Reactions
161 Replies
11K Views
Habari za jioni wanajamvi, moja kwa moja niingie kwenye nada, nimekuwa mhanga mkubwa wa wanawake hasa ninaowapata kwenye whatsapp groups, binafsi nina groups nyingi ambazo najitahidi ku socialize...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nikifikiria sipati picha. Huyu mwanamke wangu wakati wakushiriki tendo la ndoa anasema anapenda kua slave, na pia anapenda nimfanye slave mara kwa mara ila kwasasa naona nimuache tuu kwani naona...
6 Reactions
67 Replies
8K Views
Huyu mpenzi wangu sijui ana shida gani? Yuko na kazi zake kapanga mahala flani hivi. Kuanzia tuanze mahusiano ni mara chache tu ndio yeye huja kulala kwangu ila mara zote anataka mimi ndio nitoke...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Morning! Mimi ni mwanamke wa miaka 28, kama binadamu inawezekana nina mapungufu yangu lakini matukio niliyopitia kwenye mahusiano yamenifanya kuwa mnyonge na kukata sana tamaa ingawa sitamani...
15 Reactions
76 Replies
11K Views
Hivi kuna ulazima wowote wa kubadilisha namba ya simu baada tu ya kuoana? Nyie mnaobadilisha sababu gani inawafanya mbadilishe namba zenu za simu?
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Nimechunguza mengi sana ndani ya ndoa. Kabla hujaoa ulikua huru kwenda na kurudi muda wowote na tabia za kibachela. Ndugu jamaa walikua huru kukuomba na kuwasaidia bila vikwazo vingi. Ukishaoa...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu habarini zenu? Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
  • Closed
Habari zenu wote? Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu, Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha...
101 Reactions
752 Replies
67K Views
Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu zangu, salaam! Kumekuwa na kampeni nyingi za kumwinua mwanamke kutoka katika hali ambayo hapo awali ilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji, na matokeo ya hatua hizo ni dhahiri yashaanza...
41 Reactions
222 Replies
18K Views
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja...
14 Reactions
66 Replies
11K Views
Mimi nimechoka na hali ya wife yaani ana mimba ya miezi 2 now. Yani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home, ila hataki...
7 Reactions
129 Replies
21K Views
Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama...
130 Reactions
802 Replies
68K Views
Back
Top Bottom