Ni mambo gani hasa hufanyika maharusi wanapokuwa HONEYMOON!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mambo gani hasa hufanyika maharusi wanapokuwa HONEYMOON!?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Uncle Jei Jei, Dec 8, 2011.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,060
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani naamini kuna wengi humu mlipitia hiyo stage! So i hope mtatufahamisha kwa undani zaidi! Karibuni sana!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Thread ilishaletwa nadhani.
  Jaribu kusearch. . . .
   
 3. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Mbona hata sikumbuki nilifanya nini??
   
 4. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwli kabisa watueleweshe mm mwenyewe cjui,bt utakuta na wengine wanasema ckuizi kuna hooney moon basi?wakati kila kitu wanajua?na wala hawajakutana jana wala juzi.ni tofauti na zamani?,kiukweli wananichanganya
   
 5. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ww n noma inaonyesha hata siku yako ya kuzaliwa haukumbuki?
   
 6. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,128
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Matusi. Lol.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,195
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Nadhani ilinuiwa kwa maharusi kupumzika baada ya mikiki ya maandalizi ya sherehe. Kijijini kwetu fungate maharusi wanakaa ndani siku 7 na ni kazi ya ndugu wa bibi na bwana harusi ku-supply chakula ambacho hupikwa na kuletwa kwao maharusi kikiwa tayari. Labda bibi harusi ajue pia na wakweze wanapikaje pia. Na isitoshe bi harusi hajui kijiko wala kisu ki wapi, kwa siku hizo 7 atakua keshajipanga.
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,791
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  matusi tu kutafuta mtoto.....lol
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,128
  Likes Received: 1,514
  Trophy Points: 280
  Na ndo maana no phone calls no visitors. Hiyo anayoongelea King'asti labda fungate. Ila honeymoon hotelini hakuna cha kupika wala kijiko kiko wapi wala mwiko. Ni shughuli moja tu; hamna cha hodi. Ni nyie wawili. Ndo maana watu husema tunaenda second honeymoon; wakiwa na maana wanaenda somewhere private wakapeane mambo.
  :juggle:

   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mke mwenza utasutwa kwa kuleta siri za kijijini jamvini....  Kwani kwenye h'moon yako na kakake ashadii mlivyoenda china mlikuwa mnafanya nini?


  Mwisho nakusalimu kwa amani ya bwana.
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Mambo ya kubambanisha vikojoleo.
   
 12. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 791
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wanaenda kufungua zawadi!
   
 13. King2

  King2 JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ngono .
   
 14. King2

  King2 JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ndio nini hiyo.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,195
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Tatizo lako ulikimbia mkoleni! Afu mlikua na NK eh? Yale mengine hayasemwi manake tunayaendeleza hadi leo,lol!
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,195
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  Nilidhani fungate kwa kidhungu ndo honeymoon?
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  asiyejua maana usimwambie maana. Lol.
   
 18. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 791
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  si poa kabisa, kwenda ku-do wakati dingi,maza na jamii yote kujua dada flani leo anapasuliwa mayai yakutosha!
   
 19. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,791
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  kwani walivyoona anaolewa walidhania anaenda kufanya nini huko kwa mume?lol
   
 20. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,618
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Yale yale unayofanya na gf ukiwa guest house. Ila kule hakuna kinga ni rough game zaidi.
   
Loading...