Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,285
Baraza la kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoa wa Njombe limeamuru wanandoa kutengana kwa muda wa miezi mitatu ya matazamio na kurejea kwa wazazi wao kila mmoja
Hii ni kutokana na ukatili wa kipigo pamoja na ukabaji shingoni aliokuwa akiufanya Bi,Salome Mtega kwa mume wake kwenye ndoa.
Wanawake Mmekuwa Wakatili Kupitiliza [emoji30][emoji30]