Hivi kuna haja ya fungate jamani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kuna haja ya fungate jamani??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chris_Mambo, Apr 4, 2011.

 1. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna jambo linanitatiza sana wana JF. Hivi kuna haja gani ya fungate pale ambapo wana ndoa walishakuwa na uhusiano wa kimapenzi kabla ya ndoa?? Nauliza hivi kwa kuwa kuna best yangu wa karibu ambaye alienda fungate na mkewe akiwa tayari na ujauzito wa kama miezi mitatu hivi! Kwa nini wasirudi home tu kwenda kupumzika??
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Fungate lina uzuri wake mkuu. Fungate hata kama umezaa watoto 10 mchukue mkeo cku umpeleke fungate
  Hii inwaweka nyie wawilim karibu zaidi na inaongeza mapenzi
   
 3. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huoni hiyo ni kama vacation ya kawaida tu, ambapo mtu na mkewe wanaweza kuamua kwenda mbali na nyumbani? Labda kama mimi naelewa tofauti, lakini fungate ni fursa kwa wana ndoa kufahamiana kundani na na kufurahishana kutokana na kuwa pamoja kwa mara ya kwanza!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hata km mnafahamiana kwa muda mrefu, fungate ni mhm coz ni km vile kulidhisha wazizi na wanandugu, kuwa mnajua mambo!
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Apr 4, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wakiwa wawili tu, sasa kama ndoa walianza kwa kuwa na vitoto ! Bac na watafute muda wakafanye fungate
   
 6. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #6
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Bora huyo wa ujauzito. Wengine wanaishi miaka kadhaa na kuzaa watoto halafu eti baada ya kubaliki ndoa wanaenda fungate wiki moja, ya kazi gani? Maana ya fungate ni kuwa wanandoa hawajawahi kukutana kimwili hata siku moja na mwanamke lazima awe bikra, ndo siku ya fungate wanakwenda kufanya mapenzi kwa mara ya kwanza. Kwa sababu kila mtu ni mgeni katika mwili wa mwenziwe ndio maana inaonekana waende mahali tofauti na makazi yao, pengine hii vilevile hutokana na shughuli yenyewe wakati wa maingiliano hayo kwa mara ya kwanza hasa kwa mwanamke, huwa ni shughuli pevu. Kwa wale ambao tayari wanajuana hakuna haja ya kupoteza pesa kwenda kwenye mahoteli, ni bora mrudi nyumbani hiyo pesa itasaidia masuala mengine.
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kila kitu ni maamuzi.Kama wahusika wanaona wanataka/hitaji kufanya hivyo then acha wafanye hivyo.
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ni makubaliano ya wawili wapendanao kama wanaona wanahitaji fungate sioni ubaya wake
   
 9. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #9
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni maamuzi sawa, lakini nadhani hoja hapa ni ule UMAANA. Hata Reginald Mengi au Manji kwa mfano wana uwezo wa kupata milo yao hotelini kempisky kila siku, kwa nini hawafanyi hivyo?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umaana upo kwa wahusika.
   
 11. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mkuu ni kweli, sioni maana yeyote hapo...hiyo ni sawa na kwenda vacation tu..
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  siku hizi kila kitu ni maigizo, hapo hakuna fungate kuna igizo la fungate tu. halaf uskute hizo hela za fungate wenyewe wamemkopa ze finest.
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  tatzo letu watanzania tumekuwa ka kasuku ...tunapenda mambo ya kuiga hata kama hamna logic tena,acheni kuiga jamani kubaya
   
 14. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mkuu hapo status katika jamii pia inamatter.
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wivu tu unakusumbua!Kama watu wanakopa kwaajili ya msiba kwanini wasikope kufurahia.
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe lets say u r right! je watakuwa wanakwenda fungate au vacation?
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vyovyote wanavyoitafsiri wao!
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Apr 4, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mada inazungumzia fungate bana! halaf leo naona uko mkali kweli, umenyimwa ka lift nini?
   
 19. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #19
  Apr 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Na mimi naongelea fungate.Kama ambavyo wazungu waliianzisha kwa maana yao ndivyo ambavyo na sisi tunaweza kubadili maana kuendana na mazingira yetu.Oh alafu nna njaa...sijala kabisa leo!
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...fungate muhimu bana nao wapumzike baada ya heka heka za kuandaa harusi.
   
Loading...