Mbinu za kumuacha huyu mwanamke

Mbinu za kumuacha huyu mwanamke

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Habari zenu wakuu kweli nisipoteze muda niende moja kwa moja katika mada

Nimekuwa katika mahusiano ambayo imefika muda sioni future yoyote na huyu mwanamke ananikera sana na tabia zake za kuflirt hata na rafiki zangu na kila nikimwambia achana na tabia hiyo yaani baada ya muda kupita anazirudia

Baada ya attempt 3 zangu za kumuacha kushindikana labda sababu ya udhaifu hasa inapotokea mwanamke akaangusha kilio au kuanza kuomba msamaha wakati mwingine anawashirikisha wengine kumuombea msamaha

Lakini wakuu nshachoka nataka kuachana nae kabisa kila mtu ashike yake ila nmechemka kabisa kimbinu nipo nae kimwili tu lakini nafsini kashanitoka kabisa

Hapa sijui nafanyaje.......msaada wakuu
 
Hapo Kimwili upo nae kiroho haupo nae, If the table turns Kiroho utakua nae kimwili hautakua nae. R.I.P mapenzi yenu.
 
Habari zenu wakuu kweli nisipoteze muda niende moja kwa moja katika mada

Nimekuwa katika mahusiano ambayo imefika muda sioni future yoyote na huyu mwanamke ananikera sana na tabia zake za kuflirt hata na rafiki zangu na kila nikimwambia achana na tabia hiyo yaani baada ya muda kupita anazirudia

Baada ya attempt 3 zangu za kumuacha kushindikana labda sababu ya udhaifu hasa inapotokea mwanamke akaangusha kilio au kuanza kuomba msamaha wakati mwingine anawashirikisha wengine kumuombea msamaha

Lakini wakuu nshachoka nataka kuachana nae kabisa kila mtu ashike yake ila nmechemka kabisa kimbinu nipo nae kimwili tu lakini nafsini kashanitoka kabisa

Hapa sijui nafanyaje.......msaada wakuu
Nitumie namba yake PM alafu ukapumzike zako home.
 
Kumuacha mtu haiitaji ushauri kama una nia kweli embu jaribu kupunguza ukaribu naye tafuta goma jipya yeye awe mtu akupaye mbunye tu hutashindwa kumuacha
 
Kupunguza ukaribu nae imekuwa vigumu sababu ni mtu ambae waajiriwa ktk tasisi moja na inakuwa vigumu saana kukosa mawasiliano na kuonana daily
 
Msikilizie kwanza hadi atakapokuambukiza ugonjwa itakurahisishia kuachana naye
 
Kwa nini umuache wakati ulimtongoza mwenyewe? Huo ndo msalaba wako. Ukipenda boga penda na UA lake. Wewe ndo ubavu wake aliokupa mungu. Hutakaa uoate a perfect woman.. Kama ambavyo wewe hauko perfect.
Over
 
Tafuta mtu mwingine kabla hujaachana naye kuwa naye karibu sana kuliko yeye hisia zako kwake zitaondoka taratibu wala haitakuumiza kuja kuachana naye
Kupunguza ukaribu nae imekuwa vigumu sababu ni mtu ambae waajiriwa ktk tasisi moja na inakuwa vigumu saana kukosa mawasiliano na kuonana daily
 
Mimi nilikua nae kama huyo nilimpa onyo Mara ya kwanza aliporudia Mara ya pili nikapiga chini haamini hadi leo
 
Omba likizo, nenda kwenu kaa hata mwezi wallah! Mjomba utarudi na akili mpya.
 
Kwani yeye Hana marafiki? Flirt na marafiki zake nayeye akiona inakera basi akili itamkaa. We gonga madem wengine Tena bila kujificha ili aone jinsi inavyouma. Kumbuka kondom ni muhimu
 
Kahahaba
 
kwani flirting mnaijua vizur? flirting ni katabia tu. Hebu flirt nae ww tuone kama hatoacha. unampa upweke utegemee aach flirting thubutu. M mwnyw nlkua bingwa wa flirting tena na watu wa mitandaon. Mtu wang akagundua akahamisha hyo ktu kwake. Mbona nmeacha
 
Back
Top Bottom