Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana MMU! Eeh bwana uaminifu umekuwa wa kusaka kwa manati hasa kwa vijana walioko kwenye uhusiano wa kimapenzi na hii imekuwa ikichangiwa na simu za mkononi kama chombo cha mawasiliano...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu imekaaje hiii!!!!Kweli mzazi wa kiume ukague simu ya binti yako kweli??University student, umri zaidi ya miaka 20. Mzee unakagua simu yake ili ugundue nini???? Haya ghafla hii hapo...
1 Reactions
4 Replies
943 Views
Hello Guys, I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I...
33 Reactions
250 Replies
16K Views
Ulysses umri 94 na Lorraine Dawson mwenye miaka 92 wote wa huko west Virginia wanasema ndoa yao hiyo ya miaka 75 ilikuwa na furaha na changamoto nyingi, wakati wanasherehekea anniversary hio mume...
3 Reactions
1 Replies
774 Views
Ukirejea katika Uzi huu > Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata? Ambao ni Uzi nilieleza jinsi mke wangu alipoanza kunicheat, Leo ni week ya 4 Sasa, Nimekuja na Muendelezo wa...
25 Reactions
155 Replies
19K Views
Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu salama ! Ipo hivi, nilikuwa na huyu manzi wangu ambaye tulikuwa tumepanga baada ya miezi kadhaa tuanze process za kutambulishana kwa wazazi lakini safari yetu imefika ukomo gafla ,nimependa...
28 Reactions
68 Replies
6K Views
Kati ya Baba na Mama yako Mzazi ni yupi ambaye kwa Mila zetu Sisi Waafrika unaweza ukamlalamikia kuwa Mkeo au Mumeo hakupi Mapenzi mazuri ya Kitandani huku ukienda mbele zaidi kwa Kumchambulia (...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Miaka hii kumekuwa na taasisi nyingi sana zinazotetea haki za mwanamke kwa kuonyesha baadhi ya falsafa ambazo zitamkomboa mwanamke. Falsafa hizo ni pamoja na 50/50 yaani katika nyanja zote za...
3 Reactions
0 Replies
630 Views
Wakuu Msaada jamani, maana huku kwangu ni shida familia ya msichana ni shida. Unakuta mmepanga kupeleka mahari unasikia msiba, kuna mgonjwa yaani ni pasua kichwa. Hivi ni mimi tu au ni kawaida?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Dawa ya mwanamke mbona simple tuu: Kama mwanamme jipende na kujijali wewe kwanza... Kosa letu wanaume huwa tunajitoa kafara “ sacrifice” kwa ajili ya Mwanamke wakati ukifanya hivo yeye anakuona...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Muhuni alipigwa tukio,kwa hasira akakimbilia studio kuchana mistari. Hii nawapa kama dedication kwa members wooote wanaopigwa matukio ya kusalitiwa kimapenzi. Kila nikifungua MMU nakutana na...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Ni mara nyingi nimeongea na wanawake hasa walionizidi umri wamekuwa wapo against na kutembea na wanaume waliowazidi umri. Ukiwauliza sababu ni nini hawatoi jibu la kueleweka. Lakini pia katika...
14 Reactions
311 Replies
25K Views
Wanajamvi mu hali gani? Naomba niende kwenye mada:[emoji116][emoji116] 1. Neema aliyemchoma bf wake na petrol alisoma? No, hajasoma! 2. Je, yule aliyemkata mtu wake uume kule Mara alisoma? No...
6 Reactions
110 Replies
7K Views
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao. 1. Wanasiasa 2. Manesi 3. Masekretari 4. Askari/ Wanajeshi 5. Wanasheria 6...
19 Reactions
172 Replies
21K Views
Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana. Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa...
36 Reactions
173 Replies
16K Views
salaam. Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana. Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija...
45 Reactions
198 Replies
17K Views
Natumai mu wazima humu ndani, Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za mchana wana JF wenzangu? Nilipokuwa mdogo niliwahi kusikia kuwa Mwanamke mwenye maumbile fulani kwa nje basi ukimvua nguo mashine yake aka Papuchi inakuwa na maumbile ya mtindo fulani...
16 Reactions
211 Replies
23K Views
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita...
19 Reactions
172 Replies
13K Views
Back
Top Bottom