Licha ya 50/50 bado lazima mwanamke amtegemee mwanaume.

Licha ya 50/50 bado lazima mwanamke amtegemee mwanaume.

Expert911

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
695
Reaction score
1,239
Miaka hii kumekuwa na taasisi nyingi sana zinazotetea haki za mwanamke kwa kuonyesha baadhi ya falsafa ambazo zitamkomboa mwanamke. Falsafa hizo ni pamoja na 50/50 yaani katika nyanja zote za maisha iwe kielimu, kiuchumi, kisiasa, kijamii n.k
Falsafa hii imekuwa kubwa na imesomeka au imeeleweka kwa namna nyingi na kwa namna fulani wamefanikiwa lakini kwenye kufanikiwa humo kuna madhara wameleta kwa pande mbili (kwa mwanaume na kwa mwanamke).
Mwanamke wanaweza ila kwa kuwezeshwa na mwanaume pia wanamke wamekuwa wakijitapa kwa kutumia icons mbali mbali ambao ni wanamke waliofanikiwa kama vile rais wetu, mawaziri wabunge na viongozi mbali mbali.
Licha ya kuwa falsafa ya 50/50 kuja kama mkombozi kwa wanamke lakini bado wanamke wanahitaji msaada kutoka kwa mwanaume.

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom