Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la...
Aisee! Mnaoishi na wanawake mnawezaje! Hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9, hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years, hana fujo zozote ila...
Wakuu duniani hapa kuna mambo, acheni tu.
Mimi ni mtu wa kazkazini, mkoa unasifika kwa kutoa makamanda wengi wa jeshi. Katika haya maisha nilimpenda mtoto moja wa kigoma hawa waha.tulishindana...
Nyie mwenzenu mapenzi yananitesa sana nikisema niyaache niwe single nafall tena kama kuna mshauri anisaidie ntakufa ety[emoji24]
Iko hivi yani sijawahi kubahatika na mahusiano toka nianze kuyajua...
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Moja Kwa moja kwenye mada. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha ya kujitegemea rasmi yaani mi nilihama nyumbani kabla sjaenda kupanga...
Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na...
“Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni...
Habari wakuu kama hua mnapita kwenye mitandao ya kijamii ya jamiiforums basi hua mnaona swali linalo ulizwa na mdau, sasa mdau mwenyewe ndio Mimi.
Leo mdau nauliza je, ni umri gani sahihi wa mtu...
For you to know your woman is sleeping with another man is a thing you need to dig deep to know. You need sufficient and strong evidence to prove this.
A lady can keep a secret for a very long...
Everyone will appreciate the opportunity to sleep after a long day, especially if you can share that comfortable space with your companion.
According to a health professional, sleeping beside...
Nmetafakari sana jambo hili na kujiuliza why nikae na mke?
1. Chakula anapika house girl
2. Nguo anafua gouse girl
3. Usafi house girl
4. Watoto analea house girl
5. Chakula naandaliwa na...
Weekend moja nikamtoa out Mwanne. Kule akala bata sana mithili mtu anayenikomoa. Usiku huo nikampiga mistari tuondoke wote atarudi kwake asubuhi.
Akanicheka san. Pamoja na kula vitu vyangu pale...
Habari wakuu!
Yalaah! Walahi sikuwa dhania kuwa uchawi ni ishu sirius. Nilijua ni stori tuu kama zile za Nondo mla watu. Au zile stori za kusadikika za marehemu Shaaban Robert. Juzi live...
Sex ni moja kati ya starehe ambayo inafanya baadhi ya watu kuwa na hisia kali sana mpaka kufikia kushindwa kuweza kujihimili na kufanya vitu vya kushangaza, bila kujali cheo, umri, jinsia, n.k
1...
KAMA ULIKUWA HUJUI
Afrika ndio bara lenye wapenzi waaminifu kuliko mabara yote
Katika utafiti uliofanyika juu ya UKOSEFU WA UAMINIFU katika mapenzi nchi za ulaya zimeongoza kwa kutokuwa...
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf...
Bandugu, uzoefu unaonesha kuwa katika familia nyingi mme hukosa sauti kwa mkewe pindi watoto wanapokua na hasa watoto hao wakiwa wakiume. Mara nyingi humtetea na kumjali mama na kumuona baba si...
Habari za jioni.
Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti?
Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu?
Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale...
Habari za hapa wakuu.....,,
Baa za siku hizi zinakila kitu kurahisisha maisha ya mnywaji
Kuna parking, kuna wahudumu wazuri, kuna kila chakula cha asbuhi, mchana na jioni, kuna waosha magari...
Heshima kwenu wakuu...
Kuna baadhi ya mambo yaliwahi kujitokeza hapo zamani wakati nipo kijana wa makamo miaka ya 2000 enzi zile nipo shule ya msingi niliwahi kushuhudia kisa kimoja kwa baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.