Dedication kwa mnaopigwa matukio,punguzeni kulialia

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,714


Muhuni alipigwa tukio,kwa hasira akakimbilia studio kuchana mistari. Hii nawapa kama dedication kwa members wooote wanaopigwa matukio ya kusalitiwa kimapenzi.

Kila nikifungua MMU nakutana na vilio -nimesalitiwa,nishaurini nifanyaje. Poleni sana lakini punguzeni kulialia. Kaza!!

Haya mambo ya kusalitia ni days of our life. Yapo toka enzi na enzi,biblia imeandika jinsi watu walivyopigana matukio kabla na baada ya Yesu. Kwa hiyo ukioa/kuolewa usijipe sana uhakika,jua yanawezekana. Ili siku ukipigwa you have to take easy and move on. Ukiwa fresh unafanya maamuzi,upotezee au upige chini huyo mpenzi.

Wanaosumbua sana ni hawa wanaojidanganya,mpenzi wangu hawezi kugongwa nje!!! We nani,kama wamegongewa watu wa kwenye biblia itakuwa wewe bwana.
 
Ahahah eti km wamegongewa watu wa kwenye biblia we Nani usigongewe

Ila asikwambie mtu,kugongeaa kunauma asee,tena hasa ukihisi Fulani anagonga demu/mkeo alafu hauna uhakika unamchukia kuanzia yeye,watoto wake,nyumba yake, mpaka kuku wake ..unaambiwa jamaa km anaendeshagari fulani mfano IST ukikutana na IST yoyote barabarani unaichukia bila sababu ahahaha ..unaambiwa ukiona washikaji Fulani wapo karibu sn na huyo mjuba anayekula Mali yako nao unawachukia

Mkuu kugongewa kunauma weweee

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba mmoja huko Asia ndy alivunja record..yeye alipooa Tu akakuta mkewe siyo bikra imeshatumika

Akaanza kufanya uchunguzi Nani alikula mkewe kipindi hicho kabla yeye hajamuoa.Akaja kugundua kuna wahuni km 6 hivi walishatembea na Mali yake kabla yeye hajaimiliki,akaenda kununua bastola akawamwaga ubongo wote unaambiwaa..mwamba alikuwa na wivu Nyegele mwenyewe anasubiri

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 

Wanaosumbua sana ni hawa wanaojidanganya,mpenzi wangu hawezi kugongwa nje!!! We nani,kama wamegongewa watu wa kwenye biblia itakuwa wewe bwana.

102775641.jpg


#KuchapiwaHakuepukiki
 
Back
Top Bottom