Jibu kwa uzi wa mwanadada Zeira kuhusu ubinafsi wa wanawake

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,461
Dawa ya mwanamke mbona simple tuu:

Kama mwanamme jipende na kujijali wewe kwanza... Kosa letu wanaume huwa tunajitoa kafara “ sacrifice” kwa ajili ya Mwanamke wakati ukifanya hivo yeye anakuona lofa...

Usimtake sana Mwanamke
Jijali kwanza wewe
Jipende
Jinunulie vitu vizuri.. yeye usimnunulie kitu
Fanya mambo yako...
Simple and clear ni wewe kwanza...
Kipaumbele chako maishani mwako iwe ni wewe kwanza...

Natunga Chorus hapahapa

Me first
Woman last
Me first
Woman last
me first
Woman last
Me first
Woman last
Me first
Woman last

Hawa mbona wanatuhitaji sana sema kujifanya tuu. Mwanmme anaweza kukaa single hadi uzeeni Hakuna Mwanamke anayeweza kukaa single maisha... Mwanamke gani anaweza kumzika mzazi wake au kulala na maiti ya ndugu yake ndani!!
Jibu unalo

Kama ni kuoa oa Mwanamke anayekutaka, Ambae hujambembeleza kuwa nae. Ukibembeleza tu limtu linajjiona keki wakati buree tuu... Mwili wa Mtu huna chochote cha kulilia ni mihisia tuu. Tabia yangu ya kuyatazama mambo kwa miongo, karne na milenia imenifanya niyadharau mengi ambayo wengine wnayaabudu.

Kuna mzee very self conscious, ni tajiri hana bima ya afya ulikua ukimuambia kipimo fulani hela anatoa kwenye pensi yake...
Mke wake ambae aliachanaga nae alikiri kuwa huyu mzee huwezi mwambia kitu. No fear of swimming alone, better to die alone kuliko na li Mwanamke ambalo ni libinafsi...

Dawa ya ubinafsi wa Mwanamke ni kutokumpenda yeye bali kujipenda mwenyewe... ukimgundua. Cheka nae ila moyoni mwako upo mbaliiii. Life is a serious matter...
 
Kw hiyo ndo hasira umekuja kuzimalizia huku!?? njoo 5n hap mlimani nkuonyeshe mke wa *** ananyanduliwa kwa 20 k shootaimu
 
Back
Top Bottom