Kwa Mila za Kiafrika kati ya hawa Wazazi wawili ni yupi ambaye unaweza ukamfikishia Kosa kama hili la Mpenzi wako na akalitatua?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Kati ya Baba na Mama yako Mzazi ni yupi ambaye kwa Mila zetu Sisi Waafrika unaweza ukamlalamikia kuwa Mkeo au Mumeo hakupi Mapenzi mazuri ya Kitandani huku ukienda mbele zaidi kwa Kumchambulia ( kumdadavulia kwa kina kabisa bila kumuonea aibu ) kuwa hakukatii Viuno tena, hakufikishi Kileleni, hakusugui Kinena, hakunyonyi Mapumbu yako, hakutekenyi na wala hakupi tena Denda kama awali?

Majibu yako yaendane za Mila za Kiafrika na ikiwezekana zaidi zaidi za Kitanzania tafadhali.

Nitashukuru na karibuni.
 
Kama huyo
tapatalk_1562493809784.jpeg
tapatalk_1560276590971.jpeg
tapatalk_1555181416417.jpeg
 
Hakuna hata mmoja! Ni aibu kiafrika kuwahusisha wazazi na hayo masuala. Sana sana unashitaki kuwa hanipikii chakula, au akipika hakaangi vizuri, au ananilaza njaa

Sasa kama ukiogopa Kuwapasulia ukweli wote na ukaishia tu kuwaambia hivi kwa Kificho ( Kimafumbo ) huoni kama hapa ndiyo unaonyesha ni jinsi gani ulivyo Mnafiki?
 
Simwambii yoyote hapo kwasababu hawawezi kunisaidia zaidi ya kumtia aibu mume wangu

Kuna mambo mengine sio ya kuelezea upande wa tatu zaidi ya kumwambia muhusika ajitahidi kubadilika

Kwani Kuwaambia Wazazi wako kwamba Mpenzi wako hakukuni vizuri ni Aibu? Ila Kuficha / Kuwaficha huku unaumia na kuugulia kwa ndani ndiyo Ujasiri na siyo Aibu?
 
Kwani Kuwaambia Wazazi wako kwamba Mpenzi wako hakukuni vizuri ni Aibu? Ila Kuficha / Kuwaficha huku unaumia na kuugulia kwa ndani ndiyo Ujasiri na siyo Aibu?

Hebu vaa uhalisia basi

Kama wewe ni mwanaume, mke wako kaenda kumwambia mama yake humfcuk vizuri na ukaja kugundua kafanya hivyo...utampa pongezi kwa kuwa muwazi?
 
Hebu vaa uhalisia basi

Kama wewe ni mwanaume, mke wako kaenda kumwambia mama yake humfcuk vizuri na ukaja kugundua kafanya hivyo...utampa pongezi kwa kuwa muwazi?

Nitamsifia sana kwakuwa Mimi napenda mno Mtu anayenyoosha Maelezo na asiye Mnafiki, Mwoga au mwenye Aibu.
 
Akimwambia baba au mama yake atamsaidia nini

Anaweza kumwambia ama awe anakata zaidi Viuno awapo na Mumewe Kitandani au hata aongeze ukubwa wa Mkurudungu ( Uume ) wake ili aweze Kumtosheleza Mkewe.
 
Issue zote za ndani kuhusu mahusiano na mambo mengine baada ya kufunga pingu za maisha , na mkitaka kufanikiwa zaidi pambana nazo kimya kimya na mpenzi wako,hamna haja hata kidogo kuwashirikisha wazazi wala ndugu na jamaa yeyote.Wazee wetu wa zamani nikimaanisha miaka ya '70/80 walikuwa na wake zaidi ya mmoja na walikuwa wanapambana na changamoto zote na wake zao hata akipigwa alikuwa kimya huku akirekebisha makosa yake mdogomdogo
 
Back
Top Bottom