Mjadala: Hivi ni kila mwanaume anayetoka kimapenzi na mwanamke aliyemzidi umri ni Mario/kibe-10?

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,741
Ni mara nyingi nimeongea na wanawake hasa walionizidi umri wamekuwa wapo against na kutembea na wanaume waliowazidi umri. Ukiwauliza sababu ni nini hawatoi jibu la kueleweka.

Lakini pia katika jamii imezoeleka mwanamme anayetembea na mwanamke aliyemzidi umri mara zote ni Mario ama kibe-10. Tatizo ni nini hasa? Na kwanini mwanamke usijiamini kuwa na mwanamme uliyemzidi umri kama anakukamilishia mahitaji kama mpenzi?


Nakubali viserengeti vipo vinavyolelewa ila sio wote wengine wanasimamia show.
 
As for Kasie am allergic to numbers meaning to me age is a number and it matters.

Akinizidi kuanzia miezi 6 ruksa, umri sawa hapana.... raha ya kubishana na kujibizana kimahaba anizidi umri. Ikitokea akawa na mwili mkubwa au mdogo na akanidanganya umri ili anipate, nikija kujua..... atajuta kunifahamu.

Huo ndo ukweli na siri ya Kasie.

Kasie Mahaba.
 
Kwa mtazamo wangu, i think ni vizuri zaidi mwanaume kumzidi mwanamke umri...

But kama ikatokea mwanamke kumzidi mwanaume umri, its okay sometimes not always...

Cc: mahondaw
 
Kumbe hujali umri eeh? Basi asante kwa kunipa moyo wa kuendelea kukuganda. Ila seriously kutoka na mtu uliyemzidi umri jamani hata hainogi....kwanza aibu imagine mimi leo nimvulie chupi mtoto wa miaka 23 we Daby tafadhali bwana...raha ya mwanamke kudeka hivi unaanzaje mama mtu mzima unadeka kwa kitoto umekizidi miaka 6, 8 sijui 12 huko... ila naona ndo habari ya town siku wacha tu nibakie na ushamba wangu
 
Tatizo tunafanya mambo kwa mazoea, nadhani kuna watu huko zamani walidhani umri unaamua utamu, udogo wa maumbile ya kike, na akili bila yakufanya tafiti. Kwa hali ilivyo sasa, haswa kwa wanawake wa mjini, unaweza ukakuta binti wa miaka 18 amekwisha tembea na tarafa nzima, yaani viungo vyake vya uzazi vimetumika sana kuliko makusudio ya Muumba. Hali kadhalika unaweza ukakuta dada wa makamo amejitunza bado yuko vizuuri kabisa, kimaumbile na utamu. Au ukakuta kijana wa mjini wa miaka 16 amepevuka kiakili kuliko mbaba wa zaidi ya miaka 40 wa mkoani. Mimi nafikiri tuache kukariri, kila jambo liamuliwe kadiri linavyotokea.
 
Back
Top Bottom