Kwa mfano una mume,na mumeo Ana kimada/michepuko,siku moja katika kufua nguo,ukapekua simu yake,,ukaja kuta Kuna sms imeandikwa na michepuko wake,hivi HIZO LAKI NANE ,MPE MKEO AKAFANYE MATUMIZI...
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata?
Hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini?
Nilikua safarini...
Hii ni observation ndogo tu nimekuwa nikifanya. Si maanishi nipo sahihi wala sitaki kuamini kama nipo sahihi ila nilitaka kujua hii kasumba ni kwanini ipo hivo. Imejitokeza sana kwamba mtu mweupe...
Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne.
Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama...
1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku
2...
Hivi wewe mwanamke au binti, ambaye umeolewa au upo kwenye mahusiano: [emoji116][emoji116][emoji116]
Hivi wewe ikitokea mumeo anataka kukuua na anakupiga kiasi cha kutaka kuutoa uhai wako, je...
Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu...
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu...
Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo...
Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano...
Hakuna aliyefikia hatua ya kuitwa mkuu bila kuwa na sifa zinazofaa mbele yake anayetakiwa kumfanya mwingine kuwa mkuu. Kila ukuu kwenye maisha yako hujalisha mahusiano na watu wale wanaokuzunguka...
Je, ni ni pale unapo mnunulia mpenzi wako zawadi na kumtimizia mahitaji yake kwa wakati? Au ni pale anapopatwa na matatizo na mpenzi wako akawa nawe bega kwa bega
Nauliza hili nikiwa na mifano...
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema...
Habarini Wadau wa MMU, suala la malezi ni changamoto sikuzote,kulea watoto halijawahi kuwa rahisi hata mara moja
tena wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,kwamba utu au tabia za mtoto wako ni...
Habari za wikiendi wapendwa. Kuna jambo lilishawahi kunikuta linanitengenezea maswali mengi kichwani yasiokua na majibu sahihi.
Nilishawahi kua kwenye mahusiano na mwanamke fulani kama mnavyojua...
Mm ni mwajiriwa hospitali moja hapa Jijini Dar es Salaam. Ni mwaka wangu wa pili kazini na ni mzoefu katika kazi za kuhudumia hadi saa nyingine huwa boss ananiambia nibaki kuhudumia wagonjwa then...
Salaam wanajamvi la JF.
Ukienda kwenye vituo vya elimu za watoto wadogo, awali, msingi na kuendelea ukapata wasaa wa kuzungumza na watoto au walimu utapata kufahamu kuwa watoto ambao wanaishi au...
Hapa tu wadau wengi wenye kutupa mirejesho,uzi,visa na mikasa,matukio na n.k
Ambao wapo kwenye mahusiano, ndoa, wapenzi na wengine ambao bado mishale ya inasoma au wapo wapo tu!
Suala linakuja...
Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.