Wanawake na marafiki wa kiume

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,568
44,786
Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue kuwa walikutaarifu.

Sijawahi kuwa na mwanamke halafu aseme ana wakubali marafiki wenzake wa kike sababu eti Wana wivu.

Ila me sipendi hii kauli wanaoipenda kuitumia kwanini awe na marafiki wa kiume huu Ni utopolo.
 
"Usiwe na wasiwasi we are just friends, sina mpango wa kukula"🏃🏃🏃
images (3) (9).jpeg
 
Back
Top Bottom