BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Kwa mfano una mume,na mumeo Ana kimada/michepuko,siku moja katika kufua nguo,ukapekua simu yake,,ukaja kuta Kuna sms imeandikwa na michepuko wake,hivi HIZO LAKI NANE ,MPE MKEO AKAFANYE MATUMIZI YAKE BABY,
Sasa he,utazidai hizo fedha au utakausha[emoji15][emoji15]
Sasa he,utazidai hizo fedha au utakausha[emoji15][emoji15]