Jinsi mke wangu alivyonisaliti na bosi wangu

kitaruo

JF-Expert Member
Aug 23, 2018
201
161
Mm ni mwajiriwa hospitali moja hapa Jijini Dar es Salaam. Ni mwaka wangu wa pili kazini na ni mzoefu katika kazi za kuhudumia hadi saa nyingine huwa boss ananiambia nibaki kuhudumia wagonjwa then ananilipa overtime.

Boss ambaye ni doctor mkuu ananipenda sana. Mimi nimeoa na nina familia ya watoto wawili, wa kiume na wa kike.

Mwaka jana mwezi wa sita mke wangu aliumwa na kutokana na mazoea na daktari mkuu, nilimiomba amhudumie mke wangu.

Baada ya kukumuomba daktari mkuu anisaidie matibabu yake wangu sikujua kwamba mke wangu ni mdhaifu kiasi cha kushindwa kuvumilia na kukataa hisia za boss. Kumbe wakaanzisha mazoea.

Tokea mazoea kuanza, mke wangu alianza kubadilika. Nikaanzisha uchunguzi wa chini kwa chini. Mwezi wa kumi nilikamata SMS za boss kwenye simu ya mke wangu. Nilipomuuliza alikana katukatu akasema hana mazoea naye na wala hamjui.

Kwa kawaida huwa tuna shifti mbili. Mwezi wa kumi na moja mwaka jana, nesi aliyekuwa zamu alipata dharura kidogo, aliniomba nimuangalizie baadhi ya wangonjwa.

Mida ya saa tatu, alirudi nikaanza safari ya kurud nyumbani, saa nne nikawa nimeshafika. Nyumbani kwangu kuna mageti mawili, mlango wa nyuma na mbele. Kwa kawaida huwa napitia geti la mbele lakini siku hiyo, kwakuwa nilichelewa, nilipitia geti dogo kwani nilishamwambia mke wangu asiwe analifunga nikichelewa.

Bahati mbaya nakutana na gari ndogo kwenye geti dogo, taa zikiwa hazijazimwa. Nilingia ndani kwa kunyata ili nisisababishe usumbufu, mpaka kwenye dirisha la sebuleni ila sikuona kitu. Nikaenda kwenye dirisha la watoto, wote wamelala. Kwa kunyata na umakini mkubwa, nilienda kuchungulia dirishani kwangu, kabla sijalikaribia nilisikia miguno, mke wangu analalamika, millio ya furaha.

Nilivyochungulia, nilimkuta daktari(mtindo wake wa nywele ulinifanya nimjue kwani hupendelea kunyoa panki). Nililia kwa sauti, nilijikuta niko chini nagaragara. Kumbe kule ndani walinisikia nalia, daktari akavaa nguo haraka na mke wangu kitenge.

Mimi ni mwembamba na daktari ni pande la mtu, kwahiyo nisingweza kupigana naye. Daktari alinifokea akaniambia kama nikimfuatilia atanifukuza kazi.

Usiku kucha nililala kwenye kochi, na mke wangu aliondoka usiku huohuo. Nilikaa na maumivu ndani ya wiki, then nikaona nimwambie rafiki yangu, ili niweze kulipiza kisasi.

Alinielekeza kwa mganga fulani nilimpigia akanisikiliza, nikamkomesha mwizi wangu.

Kwa sasa mke wangu nimeshafukuza na siishi naye tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwann ukubali ahudumiwe na doctor mwingine wakat naww ni doctor piah, abilia chunga mzigo wako...

Yan unamkuta mkeo anapinduliwa pindulia alafu unaishia kulia?

Mm ntakufa na mtu aisee ata Kama ni bonge la mtu Bora aniue..

Kula mke wangu nisijue na usimlie kwangu hapo ntakuacha na ntaachana na mke wangu....kwangu ntawachomea ata huko ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom