Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Vijana wengi wanapoteza muda na fedha nyingi kwenye mahusiano. Na hii inatokana na kutamani kupita kiasi, kiasi kwamba kijana yuko tayari kuhonga kipato na muda wake ili aweze kutimiza tamaa yake...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
sina muda na bangi zako ila sipendi matendo yako baada ya kuvuta. ananambia ukivuta unakua na maamuzi ya kijinga yes kutokupokea cm au kutokuonekana kwe miadi ananambia unakua mbishi na hasira...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
"Jihadhari na kuwadanganya wanawake, kwani wana uhodari wa kujua ukweli, na uwezo mkubwa wa kujifanya hawajajua." "Mwenye kupoteza penzi la mwanamke mwaminifu, amepoteza maisha yake yote" Jua ya...
4 Reactions
13 Replies
6K Views
Kwa majina naitwa Naseeb ni mzaliwa wa Moshi Ila naishi Arusha kikazi, kabila ni Mrangi-mbena, miaka ni 28 na elimu ni bachelor holder..Nahitaji mwanamke wa kuoa awe mke kwani nimechoka kupoteza...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Hii ilinitokea miezi iliyopita, ambapo nilitembelewa na mrembo mzuri tu toka mkoani. Baada ya kumtembeza mazingira mbalimbali, tulirudi kwa ajili ya kupumzika. Ilipofika saa 11 asubuhi, aliamka...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu? Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka...
7 Reactions
131 Replies
13K Views
Salam wakuu, Straight to the point. Kuna jamaa yangu anaitwa bwana X, huyu mwamba anatabia zote za kihuni unazozifahamu. Dazi,tungi, ma tattoo hereni sijui takataka zote na tabia kwa ujumla ni...
18 Reactions
273 Replies
27K Views
Ninahitaji mpenzi jinsia ya kike anayependa kampani na dating. Umri wangu 25 Dini Mkristo Elimu Degree Rangi Mweupe kihasi Urefu wastani Mwili mwembamba Sina ajira nabangaiza Naishi DSM/Kawe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wana JF Imagine una miliki mtoto mkali Toto linatokea Tanga na alikuja inbox ya WhatsApp na kuniaproach then nikamkubalia vizuri kama mnavyojua wanaume hatuwezi kuwakatalia madem kwakua...
7 Reactions
83 Replies
5K Views
Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
Mtoto wa kike hajaribiwi na usije ukajaribu kupima imani ya mtoto wa kike kama anakupenda au ni mwaminifu sasa nina jamaa angu Alimua kusajili line ya simu kwa jina jingine kisha akaanza...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
UMUHIMU WA KUJIANDAA NA MAISHA YA NDOA Katika kumuumba kwake mwanadamu, Mungu aliweka utaratibu wa kuwepo mahusiano kati ya mwanamume na mwanamke , ili kuendeleza uzao kwa wanadamu, kuwaondolea...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa utafiti kutoka kwangu, usio rasmi toka nikiwa advanced level, na uzoefu wangu kwa kuona, na kwa kuambiwa na baadhi ya watu, nimegundua kuwa WANAWAKE WA BONGO KARIBIA WOTE KWA IDADI YAO...
5 Reactions
11 Replies
902 Views
Achana na ile misemo ya mtaani, kwamba kama unapata kila kitu kwenye mahusiano, basi ndoa haina umuhimu. Au wale wanaosema ukishamuweka ndani basi anaota mapembe. Ukweli ni kwamba huwa inafikia...
42 Reactions
120 Replies
14K Views
Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila...
12 Reactions
94 Replies
10K Views
Wakuu habari? Leo nimeingia mkoa ambao mchepuko wangu anaishi, ingawa anaishi umbali kama wa km 15 hivi kutoka hapa nilipo. Baada ya kufika nyumba ya wageni nilimjulisha ili aweze kufika kwa...
12 Reactions
127 Replies
9K Views
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa Twende kwenye mada Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani...
24 Reactions
120 Replies
10K Views
Habari wana jamvi pendwa la MMU,naimani mko salama na tunaendelea na michakato ya maisha. Mimi ni kijana mdogo tu niko kwenye mid 20's,mpaka saa nikiri nimewahi kuwa kimapenzi na wanawake sio...
15 Reactions
176 Replies
15K Views
Sikuhizi imekuwa vigumu sana kumtambua mwanaume ambaye tayari ameshaoa! Kwa uzoefu wako mdau,naomba mnisaidie Niko matatani! Nitamtofautisha vipi ambaye ameoa na ambaye sie ilihali sikai eneo LA...
7 Reactions
337 Replies
18K Views
Hello guys! Natafuta bint wa miaka 25-28, elimu form6 mpaka chuo, lengo ni kuanzisha uhusiano na mwishoe tuoane.. ila Moja ya mambo ambayo sipendi sana ni ngono za mara kwa mara.. naamini mapenzi...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
Back
Top Bottom