Wachagga, watoto wakizaliwa mnapeleka wapi vitovu?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu?

Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka wapi hicho kitovu? Naumuhimu wakukichukua nini naomba mnijuze kwa maana kuwa na mazoea nawachagga sintoweza.

Haya tunaomba mtuelezee mnafanyia nini vitovu vya watoto?
 
Ungewauliza specifically hao waliofanya hivyo. Usipende ku generalize mambo.

Ni sawa na umuone Mmasai mlevi halafu uanze kuuliza kwanini Wamasai ni walevi.
Nimeuliza swali nijibu kwa maana hili suala hata jirani yetu anadai hivyo makazi ni hivyo sasa wewe mwenyewe unakuja juu nahujui kitovu chako kiko wapi
 
Naomba mniambie wachagga watoto wanavyozaliwagwa mnapelekaga wapi vitovu??
Eti dada yangu kajifungua wakaja mama mkwe na mawifi kwa resi wanasuburia siku mtoto adondoshe kitovu wachukue mnapeleka wapi??
Hicho kitovu??
Naumuhimu wakukichukua nini naomba mnijuze kwa maana kuwa na mazoea nawachagga sintoweza .

Haya tunaomba mtuelezee mnafanyia nini vitovu vya watoto??
Kila familia ina taratibu zake,si wachagga wote wanahangaika na vitovu vya watoto

Jibu sahihi ungelipata kwa wahusika huenda ni taratibu za ukoo wao ungeuliza wangewaeleza kuw wanapeleka wapi na kukifanyia nini
Na ni swala la msingi sana kujua kinakoenda lakin sasa hapa kila mtu atakujibu kulingana na tartibu za familia ama ukoo wao sijui kama utapata jibu sahihi unalolitaka
 
Mmh!
 
Chumvi zinazozidi zinaharibu mantiki nzima.

Kwamba hao mawifi na wakwe hawana kazi za kufanya, wametoka huko walipotoka, wamelipa nauli, wamepoteza siku za kutosha. Waje kukaa kwenye nyumba ya dada ako ya kupanga wasubiri kitovu cha mtoto?

Kama wana biashara zao, au ajira zao wazisimamishe kisa wakae usiku na mchana wakisubiri kitovu cha mtoto wa dada ako?
 
Safiii...umeiweka vizur sana na unakuta hata hakuna big deal kwa wanachoenda kukifanyia labda unakuta wengine wanakifukia kwenye shamba lao la familia so kila mtu na namna na taratibu zao so tusikuze sana vitu jaman ilihali havina hata maana
 
Mbona unaonekana una akili lkn umeamua kujianika ujinga wako, watu wamekuja kwa dadaako, una jirani sijui badala ya kuwauliza unakuja resi na accusation za jumlajumla? Wachaga unavyowaandika ni kama kundi la waasi kumbe ni watu waliokusaidieni kuondoa mzigo hapo home kwa kumpunguza mmoja. Kuolewa tu na mchaga ni bahati sawa na kupata degree hata kama hukuwahi kanyaga class na siku ingine uwe na heshma ukiulizia jambo
 
Chumvi zinazozidi zinaharibu mantiki nzima.

Kwamba hao mawifi na wakwe hawana kazi za kufanya, wametoka huko walipotoka, wamelipa nauli, wamepoteza siku za kutosha. Waje kukaa kwenye nyumba ya dada ako ya kupanga wasubiri kitovu cha mtoto?

Kama wana biashara zao, au ajira zao wazisimamishe kisa wakae usiku na mchana wakisubiri kitovu cha mtoto wa dada ako?
😂😂😂
 
Unajua sisi sio matahira kuongelea hili suala ni kwamba limezidi kuwa kero watu hata hawezi kufuata maisha yao wanakuja kufuata kituti cha watoto maana huyu ni wapili mnakera bwana.
Huu ujinga uishe vituti vinapelekwa wapi??
 
Mbona unaonekana una akili lkn umeamua kujianika ujinga wako, watu wamekuja kwa dadaako, una jirani sijui badala ya kuwauliza unakuja resi na accusation za jumlajumla? Wachaga unavyowaandika ni kama kundi la waasi kumbe ni watu waliokusaidieni kuondoa mzigo hapo home kwa kumpunguza mmoja. Kuolewa tu na mchaga ni bahati sawa na kupata degree hata kama hukuwahi kanyaga class na siku ingine uwe na heshma ukiulizia jambo
Sijandika vibaya wala nini nauliza tena vituti vya watoto mnavipelekaga wapi??
Semeni basi chapu ...
Kabla mi mmeru sijavunja chungu
 
Back
Top Bottom