xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,380
sina muda na bangi zako ila sipendi matendo yako baada ya kuvuta.
ananambia ukivuta unakua na maamuzi ya kijinga yes kutokupokea cm au kutokuonekana kwe miadi
ananambia unakua mbishi na hasira za karibu......somtyms inatokea ushakula misumari ya kutosha upendi kero ndogondogo anaeza kukutania ukamchenchia ad akaona noma..
ananambia simjali sasa apa sjui ni sababu ya ganja au kazi ila lazima nipate muda wa kutosha kuvuta, muda na marafiki muda wa utawala binafsi na nk.
ananambia sina hisia nachukulia vitu poa poa tu hata nkiwa nasex nae hainjoy zaidi ya kuumia tuu yani n kama kawa chombo cha ngono
ukitoka nae anasema namuongeleshaga kama msela wangu na matusi ya rejareja [emoji23][emoji23]ashanichenchiaga sana kwa sababu io
mambo ni mengi ila nmejaribu tuu kuwaza pisi kali hua mnachukuliaje mahusiano na smoker?
pisi nyingi naona hua haziwezi pigo hizi huyu wangu sjui ni sampuli gani maana kanizidi kilakitu
MB:sivuti tena nowdays