Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,062
Vijana wengi wanapoteza muda na fedha nyingi kwenye mahusiano. Na hii inatokana na kutamani kupita kiasi, kiasi kwamba kijana yuko tayari kuhonga kipato na muda wake ili aweze kutimiza tamaa yake. Na wadada wamjini walivyokuwa wajanja, wakipata bwege wa namna hiyo, wanamchuna kwa namna yoyote wawezavyo ili nao pia waweze kutimiza malengo yao.
Kama vijana wangetumia muda huo na nguvu hizo, kuwekeza kwenye shughuli zao za kiuchumi; leo tusingekuwa na mapori mengi kama yaliyopo. Nawashauri vijana washtuke mapema na wafanye mambo ya maana, huku wakitumia muda mchache na rasilimali fedha kwenye mahusiano. Unatakiwa ujitambue, hapo ulipo una deni la kuanzisha kiwanda na sio deni la kuchakata mbususu.