Mtoto wa kike hajaribiwi tabia ya kumpima imani mchumba wake kama ni mwaminifu imemcost mshikaji wangu

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Mtoto wa kike hajaribiwi na usije ukajaribu kupima imani ya mtoto wa kike kama anakupenda au ni mwaminifu sasa nina jamaa angu

Alimua kusajili line ya simu kwa jina jingine kisha akaanza kumtongoza imani yake kwa njia ya sms basi kila siku akitongoza demu hataki basi jamaa akawa anapambana kumtongoza kila siku mwisho baada ya demu kufatilia hii namba ni nani anayemsumbua akagundua ni jamaa wake anamchezea huo mchezo

Kilichotokea hivi sasa demu amemuomba mshikaji akae nae mbali au waachane tuu na amemuelezea ujinga wote aliokuwa anaufanya kumpima imani kinachotokea hivi sasa demu anataka kumuacha mshikaji anapambana wayamalize amsamehe

Hilo ndo linaitwa mwana kulitafuta mwana kulipata over
 
Hakuna mwanaume hapo, huyo bado ana akili za kivulana na ushamba..

tapatalk_932451485.gif
 
Kuna Jamaa alimpatia kabisa Rafiki yake namba ya Demu ili kumpima kama ni Mrahisi, kilichotokea ni yeye kuishia kupokonywa demu na Jamaa ake..
 
Back
Top Bottom