Nimfanye nini huyu mwanamke?

Ndenji five

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
1,985
3,083
Najua wote humu hamjambo maana huwezi ingia humu huku unaumwa

Twende kwenye mada

Wakuu nimepata mke ambaye natarajia kumuweka ndani ila sasa
Kabla ya kufika huko kwenye kuwekana ndani

Nilimpima kwanza je atafaa kweli kifupi huyu binti nipo naye kwenye uchumba karibia miaka 2 navyosema uchumba yaan yupo gheto siwez ita mke mana hutajafunga ndoa

Kasoro ya huyu mwanamke kwanza sio mkweli anaweza kukudanganya hata kwa jambo
Ambalo unaliona hili halipo hivi
Sasa sijajua huwa anamaanisha nini?
Licha ya kumuonya mara kadhaa ila hurudia hivyohvy

Na akiona huna pesa hujinunisha hata wikii nzima na unyumba ulambi najua baadhi ya wadau mtasema tafuta pesa

Ipo hivi pesa hata uitafute vp ila kuna muda mambo hubuma maana kuna kuumwa nk...

Kwa kuliona hilo nikajipigapiga nikamfungulia shop ya nguo ilikuwa vizuri ila mwishon akafanya anachojua yy akajifilisi maana mwenendo aliokuwa nao ilikuwa lazima ajifilisi
Na ilikuwa ukimuonya anasema mnatunyanyasa wanawake Na atanilipa hela yangu mimi huwa sina maneno hua namwangalia tu sasa wakuu

Je kwa tabia hizi je niingie mazima au nifanyeje

Kuna wadau baadhi utawasikia umeshindwa kuamua hadi kwenye hili?

Nasema hivi ndio nimeshindwa naombeni ushauri wenu
 
Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....

Ushauri ni ule ule ....tafuta hela😁
 
Hakuna mtu mbaya kama mtu mwny uongo uongo, n zaid ya mchaw mtu huyoo.......lkn kila la heri wanasema kipendacho robo hula nyama mbichi, fuata moyo wako😎​
 
Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....

Ushauri ni ule ule ....tafuta hela😁
Kapoteza hela?😝😝😝😝
 
Wewe ndio unaeishi nae na utakaeishi nae.....
Wewe ndio unaejua kama unamuhitaji au haumuhitaji, vile vile unajua kama unaweza kumuacha au hauwezi. Pia unajua hizo tabia unaweza kumvumilia ua hauwezi....

Ushauri ni ule ule ....tafuta hela
Hiyi kiboko
 
Back
Top Bottom