Maisha ya ndoa ni kusaidiana

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,383
40,281
Sio mwingine anakuwa bosi kwa mwingine, inatakiwa mke na mume washirikiane katika kuendesha gurudumu la maisha kwa furaha, huku wakidumisha ahadi waliyoiahidi wakati wa kiapo cha ndoa. Kwa wale wanaotamani ndoa, inabidi kujuwa wajibu wao kabla ya kuingia kwenye ndoa husika.

ndoa.jpg
 
Kila mtu afanye majukumu yake, unisaidie kuosha vyombo, kwani mimi sina mikono, wewe nenda katafute pesa, hushindwi kutoa excuse kwamba hujatafuta pesa sababu ulibaki home kufua, kuosha vyombo. Hapana baba utakula kwa jasho, vyombo ntaosha na kupika😜🏃‍♀️
Bora hata wewe, Wanawake wenzio humu jF kuosha vyombo na kupika hawataki, ila wanataka mwanaume uwaletee pesa financial services
 
Back
Top Bottom