karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,801
- 3,272
Hakuna njia ya uzazi wa mpango inayoitwa kumwaga nje kwa kizungu (withdraw method)
Habari zenu wapendwa
Najua kuna baadhi ya wanaume wakikutana na wanawake kwenye siku za hatari husema watamwaga nje inawezekana lakini 99% utampa mtu mimba.
Nasema haya sababu yamenikuta na nimeshuhudia watu wakifunga ndoa za mkeka sababu ya mimba kisa kumwaga nje.
Sichochei uzinzi ila hakikisha una kondomu hata 3 za dharula.
Na nyie wanawake mpunguze genye za kijinga mnatuponza kupata watoto kabla ya muda.
Withdraw method imenisaliti